Tumechoka baba bora umekuwa mtetezi daah 🙏🙏🤦♀️🤦♀️🤦♀️
2026-09-25 05:10:41
14
wimakwimak :
Kwanza mimi nakaaga nyuma kabisa sionagi umuhimi wakukaa mbele
2026-09-25 12:44:50
6
Giantpoultryfarming :
mbona mm nikiwaga na Mke wangu tunapiga umbea mpk tunagongeana. au Sisi wote ni michepuko hatujui?
2026-09-25 06:38:25
14
Mishizahran :
😂😂Hawatuoni mpaka wawehawana hela au aumwe ndio utaitwa hata mke wangu
2026-09-25 07:56:11
14
Asha wenga :
Twende nalo papa 🤭😂😂
2026-09-25 15:36:17
1
Albertina :
acha niongeze sautii kwanza
2026-09-25 05:04:11
7
Thelesia Kimuli :
mbona haina danload jaman natak niitupie status vita iamke
2026-09-25 07:09:56
2
Maureen Mwale :
wanawake woyeeeee
2026-09-25 16:00:10
0
Mama J 🤱❤️ :
Nime Save Mme wangu akifika naweka ndo naongeza sauti mpaka mwisho ili asikiye 😂😂
2026-09-25 06:18:30
0
calvis 🌹🌹🌹 :
umeongea mpaka nalia 😭😭😭😭😭😭
2026-09-25 09:49:00
2
Angelina 🥰 :
hatimae nimefikiwa 🙏
2026-09-25 07:22:37
1
faith🌹 :
ujengew sanamu lako mapema san🥰🥰🥰🥰
2026-09-25 06:06:12
8
Shufaah Vikrahm :
kwel kabisa👏👏
2026-09-25 06:11:04
1
Mrs goland kids😘😘🥰🥰 :
😂😂sasa mimi nikiona mume wangu haniangalii naona kama niko kama kijidoli mbele yake nikimpigisha stories nikiona hanijibu akiangalia uskanii naona kma yuwanidharauu kumbe ndio kanifanya queen 👸 jamaniii na sijuii🤣🤣🤣🤣
2026-09-25 08:14:07
1
Annastazia Yuda @ :
mh huyo wa kukaza macho wa kwangu kabisa yaani namsemesha anajibu macho yako mbele mwee mpaka nachoka akishuka anakuuliza nikuchukulie nini jamani
2026-09-25 06:32:56
0
magreth :
jamani mimi nashukuru Mungu nikiwa na mume wangu kwenye gari tunacheka tunapiga stor yani raha tu
2026-09-25 10:46:25
0
tifabebie :
luhusu ni download please😭😭
2026-09-25 06:27:16
0
🍎m🍉j🍇🍏🍆🥦😂🤣 :
Karateka donini tena jamani 🤣🤣🤣😂
2026-09-25 04:39:07
2
Bright mwaulambo :
walio kwenye ndoa ujumbe umefika
2026-09-25 12:10:12
1
jj :
mimi wangu hadi tunapilizaga tunacheaka balaaaa😁
2026-09-25 09:27:00
1
veronica🌹🌺 :
Kwakwel baba
2026-09-25 11:29:39
1
Miriam hatun :
kweliiiiiiooio
2026-09-25 05:59:37
1
mama raphael gabriel :
wambie ukwel
2026-09-25 06:08:05
1
To see more videos from user @pmcollective1, please go to the Tikwm
homepage.