@shinotedriver: #crietorserchinsight2026 #pageforyou_🔥 #kenyantiktok🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #pageforyou @SHINOTEE~DRIVER🇹🇿 @SHINOTEE~DRIVER🇹🇿

SHINOTEE~DRIVER🇹🇿
SHINOTEE~DRIVER🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 04:46:03 GMT
2739
197
9
22

Music

Download

Comments

maigempassa
maige mpassa :
Uzembe wa madereva ,mazoea ,ugeni na ubora mdogo wa magari hasa ya kichina ,uzoefu mdogo wa safari ndefu kwa madereva , Serikali kugeuza barabara kuwa moja ya vyanzo vya mapato kuliko sehemu ya kusimamia Sheria ,kutoa Elimu ,kurahisisha shughuli za uchumi ,nk inapelekea dereva kuendesha kwa hofu ,kukwepa kwepa baadhi ya barabara,kuendesha kwa Kasi afike sehemu kabla ya mapambazuko au kuvizia usiku ndipo aingie barabaran, Baadhi ya askari kutojua Sheria ,kubambambikia makosa ,lugha za vitisho ,kejeri ,kuwatia hofu madereva , Matajiri kupenda madereva wa Bei ya jion bila kujari uelewa ,miiko ,uzoefu wa safari ,aina ya gari ,kununua magari ya Bei rahisi yasiyomudu Hali na barabaran zetu , Mamlaka za ukaguzi kuruhusu kila gari kuuzwa Nchini bila kujari ufanisi ,ubora , Usimamizi ,ubovu wa barabara,ufinyu ,kujisahau kwa mamlaka husika kufanya matengenezo au ujenzi wa barabara kuendana na mahitaji na wakati ....
2026-09-25 07:57:14
0
im.adry6
ADRIAN. :
bro kaongea ukweli wote
2026-09-25 10:19:20
0
athumani.mshihiri6
Athumani Mshihiri :
Tupaze sauti zetu ipo sku mungu atajibu maombi yetu
2026-09-25 09:11:09
0
ezekiel.mwambalan
Ezekiel Mwambalanje :
madereva tumekuwa yatima
2026-09-25 06:21:21
0
pesambili34
Pesambili :
ni wengi mno
2026-09-25 06:19:00
0
user4182315302426
rikas mbinga :
askali wa bongo miyeyusho sana Yani niskio lakufa haliskiii sawa
2026-09-25 07:09:58
0
abdallah.shembiru
Abdallah Shembiru :
kaeni nyumbani wiki hata,2, au,3, tuone kama hawata ziondoa! hiyo secta ni muhimu sana kwa taifa sema2! madereva hawajitambui! waboreshe kwanza miundo mbinu halafu ndio walete hizo point!
2026-09-25 10:07:35
0
mussahmussa3595
mussa🙏🙏🤝👫👫 :
🤝🤝🤝
2026-09-25 05:00:27
0
To see more videos from user @shinotedriver, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About