Hawa si waganga wote siwarogane tujue nan mkali 😂😂
2026-09-25 07:25:44
102
Sharifa Manchenster :
Kwani kuitwa kijana kunatatizo jaman???
2026-09-25 07:30:47
46
Ahmad Valentino peter :
kwani maana ya kijana wangu ni tusi wansojua kiswahil samahani tufahamishane
2026-09-25 06:46:57
49
Makamo wa Raisi :
POLICE KAZI IYO
2026-09-25 07:39:48
10
kakonzi Moshi :
kina Nan tena hawa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-25 07:41:56
3
chimoo :
kwann kamtoa kofia
2026-09-25 07:43:06
10
Kenny junior :
ety ntakupiga risasi 😂😂😂
2026-09-25 07:19:52
16
juliana kawago :
wotematapeli kweliii
2026-09-25 07:20:19
12
Baba T :
Huyu alipaswa mpaka sasa hivi awe jela
2026-09-25 09:46:01
9
Husna🥰 :
kwenye Risa's serekali imfuatilie huyu
2026-09-25 08:12:52
24
Dylanic :
mpeleke mahakamani akulipe
2026-09-25 07:53:45
12
Salma Chande :
kupigwa mtu hadharan sijambo zuri
2026-09-25 09:56:58
8
mushauri wa rais :
which country is this?
2026-09-25 07:37:24
5
Petrson 23✝️💎 :
wagangaa 😅😁wanapigana
2026-09-25 07:49:53
11
healthymindset :
Waganga wangombania advert ya biashara zao😂😂😂
2026-09-25 08:10:24
5
Rashfar64 :
Ndo mana siamini waganga
2026-09-25 12:39:43
2
Socond born :
mliosikia nitakupiga risasi ww mko wangu😂😂😂😂
2026-09-25 07:43:22
8
Ackim Junior :
Mi nimeumia sana kupgwa Hilo Kofi na hyo Kauli Tata ya kupgwa risas Hilo ni kosa kisheria tusitishane jamn. Kwan kosa la Nyau lipo wap kwan kijana nitusi🥺
2026-09-25 08:29:03
9
Man Mizo :
nchi ya baba yake, mpaka anatishia watu maisha
2026-09-25 07:25:57
6
Bokajunior 356 :
NIMESKIA NENO RISASI AU MASKIO YANGU NDO MABOVU
2026-09-25 12:04:21
2
Dore One :
Doooooooh Risasi Tenaaa😥😥😥😥
2026-09-25 12:33:50
1
MR Like ❤️ :
serekari nazani imeona na kusikia na Mimi naitaji serekari nisikieh ikisema kitu 👍
2026-09-25 09:17:50
1
Amina Abdallah :
Serikali ichikue hatua za kisheria mbona wanafanya hivo hakuna aliye juu ya sheria
2026-09-25 11:53:05
1
🪖CHAS£R💭🦅 :
Polisi wanavyoangalia hii video
2026-09-25 09:29:45
4
Ali Mwatsahu :
Hiyo ni kesi
2026-09-25 08:05:38
3
To see more videos from user @bongo9.updates, please go to the Tikwm
homepage.