ht mm yang ntaisumiliaga tu😂😂😂hmn marafiki wakike tena usiombe ukutane na mnafiki afu aigize kukupenda 🙌
2026-09-25 16:50:36
36
pretty ruuh💗🫂 :
Back ground sound kubwa hatuskii anaongea nn
2026-09-25 08:00:26
25
✨🦋 نور العين 🦋✨ :
The backgroundsound
2026-09-25 15:55:23
7
She’s julie 🦋♥️ :
Betrayal In The City 😪💔
2026-09-25 16:41:52
6
Violeth✝️ :
Marafik ninawaogopa kulikoa ata nyoka 🥹🙌 aiseee
2026-09-26 18:05:30
9
UniqueJamJun :
mziki disturbed me nikaacha kuskiza Story unayohadisia
2026-09-27 12:21:18
1
Kataley deco :
Hiyo background inazingua bhana
2026-09-25 16:07:52
6
rwiza💞💞 :
Mtu anielekeze kutoa iyo background nisikileze vizur
2026-09-26 15:39:06
5
REEN🧿 :
Kulikua na haja gan kuweka icho kimziki?
2026-09-27 11:37:35
1
28th/ April Taurus ♉️ :
trust nothing suspect everything my dear
2026-09-25 16:30:34
7
Lucy🇨🇳 :
Pole mmh
2026-09-27 01:11:21
1
Nuu Collection :
part 2 naitafuta jmn
2026-09-26 09:07:52
4
Cute Gee :
hi nyimbo inasauti kubwa hat hatusikii story kam na ww husikii vizuri like hapa
2026-09-28 13:36:46
1
Babygurl yuuh 🛍️ :
My mom once told me kun marafik wa aina mbili..wakwanza ni ambaye hapendi kbs ufanikiwe yan uyo ukifanikiwa ananunaaa kbsa alaf wapili ni marafk wanapenda ufanikiwe kabsa na ukifanikiwa wanafrahiii ilaaa usizidi kiwango walichokuwekea mfan umenunua nyumba ukawaambia watafrahiii kbs kutokea moyon lkn the time utanunua gar unashangaa mtuu anachange kumbee umevukaa kiwango cha mafanikio walichokuwekea
2026-09-27 06:24:39
6
juddie :
Ndugu wasikilizaji…Vumilie io back ground inaishia kati kati.. uko mwishoni haipo
2026-09-28 06:13:50
2
tuti Samson💗🥰 :
daaaaah polee dada
2026-09-25 14:47:43
1
ZialMshana :
Nimeitafuta hii story hadi nimeipata dah
2026-09-25 14:01:45
11
Sweet Pain❤️🩹 :
huo mziki sauti yk haiskiki...
2026-09-26 21:32:16
1
LifewithMom AJ🦋 :
polee
2026-09-25 14:55:19
1
fayfayie98 :
the music yawaa
2026-09-25 17:38:21
1
S_Yildirm ♌️ :
Sasa mkijua kuweka sound mnatutesa tusisikie
2026-09-26 14:19:03
1
CHODEDE :
ungepunguza background sound
2026-09-25 18:54:52
1
Meas redmi :
daaah pole
2026-09-25 10:44:15
0
To see more videos from user @hairat863, please go to the Tikwm
homepage.