@mr_mangapi: CHUKUA HII CODE #trendingvideo #africantiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #fypシ #flypシ

𝗠𝗥 𝗠𝗔𝗡𝗚𝗔𝗣𝗜
𝗠𝗥 𝗠𝗔𝗡𝗚𝗔𝗣𝗜
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 06:07:09 GMT
21306
1940
59
73

Music

Download

Comments

baalvin357
Zolla jr outfit👖 :
xaxa m nauza nguo uwo usiku ntamuzia nani
2026-09-28 10:23:01
5
marneyhairstylish
Marney hairstylish :
Very fact ila watu watakubishia 😂😂
2026-09-26 04:48:38
5
priphan.mvungi
Priphan 💕j :
Kwaiyo neno la Mungu linavyo sema olewao waugeuzao usiku kuwa mchana alimanisha nini na kwanzia saa ngapi
2026-10-01 14:28:14
2
useflexicut
Flexi_cut :
Neno "USIKU" ni neno pana sana, kulingana na tafakari Yako, napenda kuchallenge kwa kusema kuwa, USIKU ni neno linalo maanisha Giza au kuto kuona huo ndio mfumo wa Giza, hivyo kwa waliofanikiwa usiku sio kwamba walifanya kazi usiku Bali walitengeneza utajiri na mafanikio yao wakiwa hawaonekani au kujionesha, hivyo usiku naweza kusema ni wakati wa kupunguza kelele za watu na jamii katika kujenga jambo kubwa na sio kwa kufanya kazi usiku kama tuonavyo.... 😁
2026-09-25 19:04:28
3
solotheng11
Solotheng11 :
soma vizuri shughuli za uumbaji ni asubui mpaka jioni na sio usiku
2026-09-27 19:41:03
1
thegiantacademician
Sikia Academy :
Sir can u welcome me on your stage? I have something important of your CONTENTS! I'll ve glad
2026-09-25 09:59:29
3
topseller26
Topselaz :
Finally I’m here thank universe
2026-09-28 16:16:26
2
silas6580
Silas K :
Mr kama ndo ivo bas Mungu aliumba mchana sio usiku maana biblia inasema baada ya uumbaji ikawa jioni ikawa asubihi siku moja🙏
2026-10-08 20:40:40
1
kingdomwitnesses1
APOSTLE DENIS :
ibada ni lifestyle hii 👁️ndio imeniweka kwa ufalme Wa Mungu mpaka leo
2026-09-25 11:11:47
4
user7612411533627
user7612411533627 :
amina
2026-09-25 07:34:25
3
j.cobra.com
Jcobra :
mh mh
2026-09-25 11:32:25
1
davidyours
David :
hujadanganya brother... nakukubali sana
2026-09-25 16:02:22
0
sauli.wakitaa
Plan B :
[Sticker] au
2026-10-06 00:44:04
0
rentalhomes23
JOSEPH HOMES :
utafanya kazi gani na giza bro,,,kuna wale hawana stima kwao wafanyeje? hii ya leo umetuzengua hapo,
2026-10-08 19:57:38
0
revkiwandaipallangyo
Revkiwandai Pallangyo :
nafikr usiku ni wakati wa creation ni kweli lakini spiritually na cyo kazi Kwa xbb 75% vitu na mambo yote Kwa ulimwengu yankuwa created kwenye ulimwengu wa kiroho
2026-10-12 19:59:17
0
luckydeson26
Lucky De Son :
jioni ya saa ngapi?
2026-10-10 23:15:10
0
thegiantacademician
Sikia Academy :
Thank you
2026-09-25 09:57:44
2
abbyscollection_2
abbyscollection_2 :
Amina
2026-09-25 06:13:13
3
eliandalahwa7
Prince 🤴 Elia :
Kaka hapo umeongea namimi waga nagangaa nilifanya kazi mchana kutwa yani hata kama nimechoka kiasi gani ikifikatu kuanzia saa moja jioni kuendelea nakuaga na nguvu sijuagizinatokaga wap
2026-10-19 05:35:12
0
breez_e5
breez :
daaah umeniamsha akili kwa kiwango kipana
2026-10-04 11:45:23
0
evaristiwhite
evaristi🇹🇿 :
amina sana
2026-10-17 03:55:05
0
charles.zn86
Charles Zn :
kwahiyo Saturday ni satan day 😂😂
2026-10-14 14:11:17
0
nwnkiranjamkuu
NwnKiranjaMkuu :
me siku yangu ina masaa 16
2026-10-04 17:56:37
0
jabrani.winga
Jabrani winga :
Nakuelewa
2026-09-27 22:34:15
1
marneyhairstylish
Marney hairstylish :
Bro natamani kujua hizo siku nyingine na Miungu yake ikiwa Sunday ni Mungu jua 🙏
2026-09-26 04:50:28
0
To see more videos from user @mr_mangapi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About