safi sana hakuna kupumzika kila mtu alie kilio chake paka akili zitukae sawa
2026-09-25 14:46:18
42
user7339880690811 :
raha sana tuendelee kutiki
2026-09-25 11:30:11
6
C@mkasa :
heche akiwa anaongea mnasema anamakelele,kila mmoja atafikiwa ni swala la muda tu
2026-09-25 21:45:29
11
sheyla :
poleni sana asie mfanya biashara awwz elewa mnapitia nn 😢😢 yalinikuta mm nilickia wazma polen jaman
2026-09-25 13:27:36
11
Fetty official 🌹🌹🔥 :
poleni sana ndugu zangu wapi hapo maeneo?
2026-09-26 06:30:45
4
msaka tonge :
kuna watu wanalipa TRA na wanalipia flemu bei mbaya alafu mtu anapanga biashara ile ile tena barabarani wanakopita watu.. watu waende buza hiyo barabara iwe nyeupe sio soko
2026-09-25 06:50:27
4
Isha Rajabu :
ccm siyo chama opening kinavyo tutesa jamani halafu ukiangalia kiongozi ni mwamke mwenzetu anavyo tufanyia hana huruma
2026-09-25 19:22:53
3
patel. :
unambiwa Ajira akuna jiajiri
unajiajiri wanakuja kukutia wanakwambia hapa sio mahala pa kujiajiri ...
pole sana ndugu zangu tutavuka salama
2026-09-26 07:09:43
2
bilala :
daah hatari wametutia njaa cn tunasomesha Yani kweli mwenye shibe awezi kumjua mwenye njaa daah inauma cn
2026-09-26 16:30:49
2
Alpenza Home And More..... :
Mitano tena kwa mama enu kipenzi
2026-09-26 19:33:07
1
Tripel A VIJORA COLECTION :
vaeni zile tishert tu jmn
2026-09-26 19:12:32
1
zai chambuso :
tutanyamaza lini ?
2026-09-25 16:30:11
2
special hire biafra :
jina la wimbo
2026-09-25 14:55:48
0
TRIPLE L :
mimi kwa hili siwezi kuilaumu ccm kwakweli kweli tunatafuta rizk ila riziki zetu zisiwe kikwazo kwa wengine tumepewa nafasi tumeshindwa kuitumia vizuri huwezi kupanga nyanya barabarani watu wanaahindwa kupita alaf tunabak kulaumu ccm
2026-09-26 17:45:28
2
Angelo :
Nakumbuka mlikuwa mnaimba ccm mbele kwa mbele na mkasema mnatiki sioni aibu kusema sina huruma kwa hili maana ili mjifunze wenzenu waliposema No Reform No Election mlisema mnatiki mjifunze maisha ya siasa ni uongo na ndy maana sijutii kusema mliyataka wenyewe
2026-09-25 19:57:17
4
samwel :
tulisema kila mtu ataguswa n suala la mda
2026-09-25 12:53:29
4
ally boy tz :
polen sana wanangu wa zakhem
2026-09-25 19:04:45
1
mwaj :
duuuu nashindwa kuelewa mkijuwa inchi imetulia linakuja janga kubwa zaidi jamn Sasa maumivu hakuna poa duuuu
2026-09-25 19:07:58
1
rose light :
pumzika kwa aman magufuli😭😭
2026-09-25 15:58:00
2
Hijaissa :
magufuli ndiyo lais wa wange tukukumbuka baba
2026-09-25 15:26:21
1
FARIDA KILOMBERO :
AFCON MTAINGIA WENYEWE.
2026-09-25 08:28:04
1
To see more videos from user @neemarobert6, please go to the Tikwm
homepage.