hamna atakaewatetea madereva sahv ni ngum san yaan polic ndo kipao mbele tanzania
2026-09-26 05:19:39
1
Nuru mshumba :
hata vts walidai ivyo ivyo vipo kwa majalibio leo vinatutesa kubarini iyo siasa mkikubari tu tumefilwa madereva hawa sio wenzetu hakuna majalibio hapo waongo