@theuncensoredcommunity: A viral video showing Kenyan Catholic women from the Catholic Women Association (CWA) praying around a large statue of the Virgin Mary holding Jesus. The video has drawn criticism online, with one user describing the statue as an idol and questioning the practice.The women, dressed in matching blue outfits bearing the inscription “St. Monica Pray for Us,” were filmed at an outdoor devotional site in Komarock Shrine. What are your thoughts? #kenyantiktok🇰🇪 #theuncensoredcommunity #fyp
*Amri Kumi za Mungu - Kutoka 20:1-17*
1. *Usiwe na miungu mingine ila Mimi.*
2. *Usijifanyie sanamu ya kuchonga*, wala mfano wa kitu cho chote kilicho mbinguni juu, wala duniani chini, wala majini. Usiabudu wala kuitumikia.
3. *Usilitaje bure Jina la Bwana Mungu wako*, maana Bwana hata mwona kuwa hana hatia yule alitajaye Jina lake bure.
4. *Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.* Fanya kazi siku sita, lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana Mungu wako.
5. *Waheshimu baba yako na mama yako*, siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi Bwana Mungu wako akupayo.
6. *Usiue.*
7. *Usizini.*
8. *Usiibe.*
9. *Usimshuhudie jirani yako uongo.*
10. *Usitamani* nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala chochote alicho nacho jirani yako.
2026-09-29 05:57:40
0
To see more videos from user @theuncensoredcommunity, please go to the Tikwm
homepage.