bahati bukuku alikua sahii na ule wimbo wa jihadhari na hao amrafiki
2026-09-25 13:40:32
73
👄 donnah🌹🌷 :
Mtu akiniita rafiki,mbio😂😂
2026-09-25 12:34:29
194
user8171081930025 :
next part
2026-09-29 04:30:05
0
Jane kamandu :
aliyemalizia story nimechoka jmn kisikiliza aniambia ilikuwaje
2026-09-25 15:50:29
7
∆ :
mmh yaliyo kukuta ni kama mm yaliyo nilikuta
2026-09-25 14:17:40
49
CHALAB👑✨️ :
stori zako ni tamu sana lakin please naomba part nyengine utuengezee na kibit cha huzun kwa mbali
2026-09-25 16:15:30
23
B :
sijakutana na part 2&3 na naona umefika 4 izi nigani sasa
2026-09-25 19:23:32
26
Dinnah :
Ujuwe kosa lako ni nini? Kusema wanawake wanaroho mbaya ikiwa we pia mwanamke na hauna roho mbaya iko hivi kuna wanaume pia wanatabia hizo so unachotakiwa kuwashauli au kuwasimulia watu sema kuna baadhi ya maradiki au watu wanaroho mbaya na sio wanawake
2026-09-25 20:55:21
16
E collection 👗 :
Marafiki sio kabisa hata mm yalinikuta tena makubwa sana mana nilitaka kutolewa kafara kabisaa
2026-09-25 14:41:05
17
MADAM C.E.O 💵 :
Jaman tusali Mungu yupo 🙏
2026-09-25 17:00:22
24
TeeMollel :
ndo mana sina marafikii🙌🙌🙌🙌
2026-09-25 12:35:46
38
Baraka Muganyizi :
Dom mamboooo veeeep p p p p
2026-09-25 13:31:01
30
☆❣️𝑽𝒊𝒏𝒕𝒂𝒈𝒆 𝒈𝒊𝒓𝒍❣️☆ :
mzuri jmn mm naskiliza kwasababu ni kazuri😅😅
2026-09-25 15:11:39
18
🇰🇪Miresh🇨🇩 :
𝚙𝚘𝚕𝚎 𝚜𝚗 𝚒𝚕𝚊 𝚗𝚒𝚖𝚎𝚙𝚎𝚗𝚍𝚊 𝚛𝚊𝚗𝚐𝚒 𝚢𝚊𝚔𝚘
2026-09-25 13:27:50
13
Marylaizer :
usituache njiani tafadhali utumalizie tu story
2026-09-25 13:55:11
17
kb6 :
izo biskut kwa wataalamu kama sisi tunaita cookies .....broo ukila lazma upagawe
2026-09-26 09:14:48
7
salhasaidy3 :
m ndoman sieleweki🥺🥺
2026-09-25 13:29:53
21
To see more videos from user @hairat863, please go to the Tikwm
homepage.