@guvuyakitaa: Mtoto mdogo lakini sauti imetikisa stage nzima ya India's Got Talent 😭🔥 Hii sio kipaji ni muujiza 🎤✨ #indiasgottalent #fyp #viral #talent #sautikali

nguvu yakitaa
nguvu yakitaa
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 08:38:38 GMT
225495
19671
236
195

Music

Download

Comments

rachelfuraha378
kondya girl🥰🥰🥰 :
Krish and kishore
2026-09-27 16:48:46
0
byser443
byser :
The bro is creating monster
2026-09-27 19:03:48
0
jubat013
jubat013 :
Ruto must go
2026-09-29 07:01:43
0
mzcjkg
""Arijit sing song"" :
song name pls pls
2026-09-28 17:39:54
0
susannakhumicha62
sue ktl finest :
future sharukhan
2026-09-29 13:47:30
0
johnchambo960
John Chambo :
Hapo ana maanisha ipo siku doumbia atafunga hat trick
2026-09-26 19:20:47
36
kisauti79
kisauti :
wooooow
2026-09-27 20:39:14
0
eli.fred1
Elifred --GAIRO :
kweli kaimba chamaana sana na ukiangalia dunian inakoelekea
2026-09-25 21:04:35
33
bigstonebigstone2
king kayo :
saut inapenya moyon kweli muziki n mali ya allah
2026-09-25 16:15:06
27
manchester.city.yo
vj tush :
even the older guy has a good voice don't underrate him
2026-09-26 12:39:49
8
fadian100
Fadian :
vipi kakumbusha kipindi gani huyo mtoto?
2026-09-25 11:04:30
15
shubirahgasper
Queen shubirah :
kwan wimbo un man gan jmn me sielew
2026-09-28 10:37:05
3
annie.joram
annie joram🦋🦋❤ :
Ukisikia kipaji cha kuzaliwa nacho sasa ndo hiki
2026-09-25 15:00:15
73
cyrusmuithi2
cyrus muithi :
wimbo inamaana ya siasa ,kwanza hapo anasema "MUST GO " is so emotional
2026-09-28 12:52:02
4
bakhaisamu
DEEKHAM :
dogo aliiimba balaaa anasema hata kma hana kitu akiamuq kumpenda ampende asimfananish na mtu na kma akiamua kwenda kisa yey maskin aende tu ila Mungu ndo ajuay kesho ya mtu😭😭😭🙌🙌
2026-09-27 16:10:18
4
salehkimamba795
Saleh Kimamba :
krish na krosh awooo ninoma
2026-09-25 15:52:35
6
nonoh837
Nonoh 🌹 :
sidath🥰🥰🥰
2026-09-25 13:05:57
8
ksarrl
aiem Isarrly🐵 :
niamini mimi wimbo unausu kilimo
2026-09-26 11:14:16
4
mohd.hajji.bad.boy
mohd hajji bad boy :
yes sifahamu lugha. lakini sauti tamu
2026-09-25 18:38:23
8
lakishtone5
lakishtone 🔥♥️ :
uku kwetu sasa mtoto analazimishwa kusoma tu bila kujua talent pia ni ufunguo dah😔
2026-09-25 17:31:18
8
batulalgi
Mrs.Suu❤💍🌹🥀 :
my favourite 😍 sidart khurana
2026-09-26 07:48:57
8
uncle.wizzy7
Ūçlê_Wïzzy :
daah kaimba kitu kikubwa sanaa kweli dunia inaenda mbio Elinino ni janga lakidunia tuwahi kujinunulia bidhaa muhimu kujikinga nayo hicho ndio alichokiimba kwa wacyojua km mimi
2026-09-26 11:29:12
0
minly.lady
minly lady :
name of song please
2026-09-27 10:33:34
0
tyla2355
VEEHLAND :
hii wimbo inaongelea maisha yangu kabisa ,kwanza hapo Mali anasema tunapaka mafuta ya kupika tukienda shule🤣
2026-09-28 21:01:41
1
ramadhanissa130
ramadhanissa130 :
nyimbo inaitwaje please
2026-09-25 18:12:37
0
To see more videos from user @guvuyakitaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About