@sautiyaukweli2: Wanafiki wanaficha nyuma ya Kaaba

Sauti Ya Ukweli
Sauti Ya Ukweli
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 08:58:14 GMT
82798
5491
161
966

Music

Download

Comments

jumakassim8
jumakassim8 :
wapo wanaongoja mwezi wakutangazwa na Saudi Arabia
2026-09-25 11:51:31
18
awadhswahili
Awadh26 :
Ottoman ilikuwa imejaa Ibada za Shirki
2026-09-25 15:22:07
4
mjk10593
MJK :
acha uongo ottoman empire na Abdul wahab zimepita Karne ngapi
2026-09-25 12:19:37
11
talal.mohammed17
ARBABU :
masheikh wetu mbona hawaongei haya kwenye mimbari
2026-09-26 17:46:10
12
lorencekingdom
Lorence :
tusimulie na Jinsi waislam Waarabu walivyotawala Africa kaka
2026-10-12 19:42:11
0
user810514273
Suleiman :
Tusitaje ardhi takatifu kwa jina la saudia. jina la hijaz libaki kama vile wakati wa mtume salalahu aleihi wasalam. Hijaz ni nchi ya waislamu wote wala si nchi ya alsaud.
2026-09-25 19:23:20
9
omarseif1790
Omar Seif :
abdul wahab alisafisha shirk nakupaisha bendera ya tawhid hijaz
2026-09-25 20:30:09
1
abuyaqub50
Abuyaqub50 :
https://vt.tiktok.com/ZSbrRqx1S/
2026-09-28 11:44:12
0
almagramfuad
Al-magram Fuad :
upo sahih kabisa
2026-09-25 14:52:24
9
tausiri.juma
Tausiri Juma :
Abdul wahab na Al Saudi ndio walioanzisha shida za bidaa hawakua na lengo la uongozi wa kiislam HIJAZ ndio ilikua nchi sawa
2026-09-25 22:56:13
10
beka0264
beka title :
nipo nawewe ila kwenye Google hapo kipindi hiko kulikua hakuna
2026-09-25 17:31:03
0
arbaabnadr
{ Arbaab 💙 Nadir } :
{ MASHA'ALLAH simulizi ni nzuri sana... ✍️}
2026-09-25 10:48:16
6
mpili.kassim42
Mpili Kassim :
Itafahamika sana tu na tusubiri
2026-09-26 09:09:55
2
user2436296581616
jumaa :
Nikweli upo sahihi
2026-09-25 18:11:07
2
charafimali
charafimali :
HII MUHIM SANA KWA WOTE. HASA SISI VIJANA. TUNAOJISINGIZIA WA SUNNAH.
2026-09-25 21:33:49
2
ahmedadan628
jahbaze 50mm :
SUBHAN ALLAH 🤔
2026-09-26 16:42:29
1
user17385834281498
ally :
HILO NI KWELI KABISA ♥️♥️♥️🙏🙏🙏
2026-09-25 17:59:14
3
thabitichiumbo1
thabitichiumbo :
upo sahihi kaka iyo historia ni ya kweli
2026-09-26 10:31:16
2
dullah.01
#{Dullah.01} :
HII STORI INA UKWELI NDANI YAKE KWA SABABU KILA SHEKH ANAEKOSOA MAOVU YANAYOENDELEA SAUDIA ANAFUNGWA.
2026-10-01 18:30:13
2
mohdbosh281
hussein dhadho :
MASHAALLAH
2026-09-25 19:15:21
1
ibrahimseleman06
ibrahimseleman426 :
nmefatilia kwa umakini sana ila viongozi wa saudia ni tatizo!
2026-09-30 12:53:43
1
user5531835839476
Nimtazamo tyuu🙄 :
mashaallah🥰🥰🥰
2026-09-26 08:41:04
1
kitenge.ayoub
Kitenge Ayoub :
kwakwel
2026-09-26 06:05:41
1
mustafaabdullah163
musty abd :
kwanza utawala wa ottoman au uthmania ilikuwa zaifu saaana zama zile na kushindwa kutawala ardhi zote za waislamu wala hawakuwa na jeshi yeyote
2026-09-27 12:18:31
1
msanifukombo827
Msanifu Kombo :
Huo ndio ukweli.
2026-09-25 16:59:44
1
To see more videos from user @sautiyaukweli2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About