nikiwa na umri wa miaka 20 nilikua nasoma na wala sikua najua maana yake,wallah nilikua sijui kukasirika nini,nilipoona post zako kama siku 3 naisoma nnapotoka home kwenda job,juzi nikapata mteja na leo pia wakati biashara haileweki nimepata maajabu yake
2026-09-25 13:05:57
4
tham💕❤️🇨🇦 :
Inasaliwa vipi samahan
2026-09-25 12:27:05
0
Elegant Wear TZ 🌺😍 :
naomba anaejua anielekezee wallah niifanyew
2026-09-27 13:09:59
0
Juma muslih salehe anko j . j :
swala ya mtume nimoto mwengine. nimeweza kukusanya milioni 4 wala sikujuwa nimetowa wapi. ukiwa hufanyi biashara. wateja ndio shida. mswaliye mtume. weka niya yako utapata wateja mpaka. utashangaaa idadi 1440. na 1575
2026-09-27 15:34:31
2
user4504609192372 :
S.A.W💚💚💚💚💚💚
2026-09-25 17:33:05
0
🦋kizeddy🖤🖤 :
True🥰 habibity
2026-09-25 21:58:41
1
Cute nuu😘 :
Tufundishe bac kipenz mim naandamwa na majiran chuki bila sababu
2026-09-25 14:16:35
3
##001##001## :
naam swala ya mtumi Kwanza ni Ibada inayokubaliwa moja kwa moja pili swala ya mtumi ni Ibada isio Kua na riyaa
2026-09-25 10:51:17
2
JINGU HAOJUE :
True[Perfect score]
2026-09-25 09:26:07
0
COSTAL NUTS :
mashallah
2026-09-26 15:47:23
0
rayaana14 :
saaaana
2026-09-26 11:17:40
0
Sheilah Juma :
Wee mlembo nakupenda kwa ajir ya Allah
2026-09-26 21:06:21
0
zainabumayoyo :
nakupnd kwa ajr ya allah
2026-09-26 05:47:42
0
𝙃𝘽 𝙆𝙄𝙇𝙀𝙊🦅🇹🇿 :
2026-09-25 21:21:20
0
Sulekha Mohammed Husseinmaji :
S.A.W S.A.W S.A.W
2026-09-25 16:58:16
0
M² :
naomba kuuliza surah maryam na surah najm ningeomba tafsir yake
2026-09-26 11:19:47
0
safiaothman788 :
Jazaki Allahu Khairaan Kathiraan Habibty kwa Darsa Muruwa lenye Mafundisho na Mazingatio makubwa sana
2026-09-26 15:31:26
0
snaper :
huyu sheh allah amuhifadhi kwakweli tunampenda sana na darasa zake
2026-09-25 18:56:49
0
Duodonut :
yah ni kweli kabisaa
2026-09-27 19:58:13
0
Alya Hamisi :
Maa Shaa Allah ❤️
2026-09-25 09:53:53
0
thusal :
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 Allahumma Swali wasalim Aleih
2026-09-25 12:13:45
0
segujaSwaib :
vist
2026-09-25 12:03:56
0
Maya Qasim :
Mashallah
2026-09-25 11:33:58
0
Nazreen Majeed :
swalatul Nariyah ,unafanya anytime?
2026-09-25 10:26:47
0
Doti :
nifunze zaidi dada.
2026-09-25 09:33:48
0
To see more videos from user @najlafuadahmed, please go to the Tikwm
homepage.