@true.signal.news: Jalang’o: “Kwa Maisha Usiwai Kubali Kulipwa Mara Kumi Na Mbili Kwa Mwaka, Mwaka Ikona Siku 365, Tafuta Njia Ujitoe Katika Minyororo Ya Salary.”

True Signal News/TSN
True Signal News/TSN
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 25 September 2026 09:46:03 GMT
124044
5651
128
679

Music

Download

Comments

volvado7
volvado :
unaweza endea advance ukalipwa mara 24 kwa mwaka[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-25 16:45:32
1
manchesterunited2547
Manchester united 254 :
The person advising analipwa mara 12 na gava
2026-09-25 11:26:20
102
tonny.k837
The Humble King :
ujue mtu anakwambia hivyo alikuwa radio presenter for years...😂😂
2026-09-25 11:25:10
36
franky9789
Franky🇰🇪🇰🇼🇸🇦🇧🇭 :
money comes with advise
2026-09-25 15:25:46
0
aminet.wifi
AMINET WIFI :
ama halipwi 12 times a month na government ya kenya kama MP?😂😂😂
2026-09-25 14:15:58
0
humphreywesonga4
Wesonga :
Toa makasiriko and take the advice positively...he has alot of sense on this
2026-09-25 12:42:08
25
rickybookscentre
ricky books centre :
if everyone does that,who will be paid a salary??😳
2026-09-25 16:57:14
2
straw_james
JAMES :
🤣🤣🤣 what is he doing in the parliament if not working for that salary
2026-09-25 13:23:00
1
zacharyomechi781
zacharyomechi781 :
waKenya kuelewa vitu ni ngumu, in short jalas anamaanisha uwe na side hustle usitegemee salary pekee
2026-09-25 12:10:04
15
montezwanga
Montez :
it is my prayer God anihelp n vile Sina choice
2026-09-25 10:09:06
3
fangs173
Fangs :
Jalango is paid a salary as MP mara 12 kwa mwaka
2026-09-25 18:31:39
1
chirchir1545
Olmo🖤🖤 :
but you're mp unalipwa pia alfu Tena you want to be senator
2026-09-25 12:38:33
2
victormatekeya
Vladimir Putin... :
na si yeye analipwa mara kumi na mbili kwa mwaka na gava for 5 years. follow his advice at your own cost
2026-09-25 11:09:02
3
user5471101570663
Hon. Nyakundi :
how many times do you get paid per yr as mp?
2026-09-25 12:04:41
2
ketphine
butterfly❤❤❤ :
Wale wanafikiria na akili ya siasa jalas anasema, tuwe smart kimapato tusidepend tu kwa salary. Kumbukeni ile time ya corona vle vitu zilihappen
2026-09-25 17:40:25
2
user10969049310
Tonny kakai :
hii nayo jalango umesema ukweli
2026-09-25 10:41:48
4
karatoski
Hiroshima :
Watu wanakuanga na advice mingi Lkn no real solutions that work in life😂
2026-09-25 12:10:42
1
innocentmomanyi
Innocent Momanyi :
Yeye si ni mbunge analipwa mara kumi na mbili?
2026-09-25 11:39:34
1
a_free_ka
Mwa_Fri_ka :
If this are the leaders,Kenya safari bado.Most people will be employees,only outliers will make it in business.🤣
2026-09-25 22:19:51
0
detective.t..001
Detective.T :
ambia gava ikulipe kisiku😅
2026-09-25 22:01:41
0
0113250116olero
Ja Nyakach kadianga(okanowach) :
Good advice,besides side job have a side hustle
2026-09-25 21:47:36
0
user49376193460728
the tycoon 🌹❤️‍🔥 :
true
2026-09-25 21:09:45
0
owuatorougersluo
LUO ROYALTY 🇺🇸🇰🇪 :
Inakaa Mungu ameanza kutuma Watu kwangu
2026-09-25 18:33:50
0
joshuaanyota
Coolruler :
si mp analipwa 12 a year?
2026-09-25 18:32:51
0
edwinngure445
edwinngure445 :
lipwa mara kumi na mbili kwa mwaka ukijipanga
2026-09-25 10:34:20
0
To see more videos from user @true.signal.news, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About