@d_mponda:

"ECONOMY" 🇹🇿🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 09:51:37 GMT
107040
4402
100
36

Music

Download

Comments

michaelkijazi3
michael kijazi :
1 Mika 2 majani 3 master j kwa mtazamo wangu
2026-09-26 05:56:31
33
benngola1
Ben ngola :
uy mika mwamba yukwapi kwan
2026-09-26 07:22:36
9
ramsaalem205
Ram saalem :
1 Mika mwamba 2 p funk 3 Mr j 4,,,,,,,,,,, walikuwa wa nne
2026-10-20 21:44:42
0
mesher_furnituretz
mesher :
Kuna Said comorie
2026-09-26 08:35:29
3
djconner
phone repair and accesories :
beat lina feeling kali saaana hasa kwa tulio kuwepo 2002 ad 2008 kabla ya machafuko
2026-09-27 06:13:45
11
hamisyhashimjuma
hamisyhashimjuma :
majani namba 1 milele
2026-09-28 19:17:51
0
77battallion
77DrUnkEnBattallionMASTER :
mika mwamba ndio mwenyewe kwenye bongo flava. skiza midundo mingi ya nyimbo alioproduce
2026-09-26 05:40:31
3
nicky.jonathan0
Nicky Jonathan :
harafu mwamba nasikia alikua hamdharau mtu
2026-09-26 19:43:14
1
chamkaryramadhani
chamkary :
kwani milinda ilikua inauzwa bei gani
2026-09-26 17:29:32
0
pastory.pk
Pastory Pk :
mishangazi ilipendwa toka kitambo
2026-09-26 05:18:58
1
timjasiri1
Tim Jasiri :
Kama vipi waifanye rmx to ishi nayo kama mpya
2026-09-26 09:14:41
1
mrmambotoday
Mambotoday :
# Kuna time Huwa nafikiria kwanini watu kama Mika Mwamba hawaonekani kwenye miaka 30 ya bongo fleva kama miongoni mwa maProducer Ambao wamishiriki Kuifikisha Bongo fleva ilipo..By the way binafsi Mika 🫡🫡🫡
2026-09-28 06:40:33
2
user288184705229
Abu-Mayrah :
ni namba 2 sio namba tatu , maan kipindi ichonalikuw yeye na majan , mweke pemben master j, ila mika mwamba mwache oabisa , ata majan ana lijuwa
2026-10-03 07:33:33
1
alphonceseiph
4real :
anajua sanaa huyu jamaa
2026-09-26 08:24:40
0
diablo.050
Dìåblø😈 :
kuna ule mbeat aliopiga kwenye goma la Chege ft temba na Yp-Twenzetu bonge la beat alikua anaua sana
2026-09-27 19:45:41
6
creafdallyn
creafdaniel :
mika mwamba ni moto
2026-09-26 22:14:43
1
babaraya7
Baba Farida :
1. Majani. 2. Mika mwamba. 3. Mj Record.
2026-09-30 08:47:26
0
nicky.jonathan0
Nicky Jonathan :
mika mwamba namba 1
2026-09-26 19:42:33
2
naima.kahamba
Ney💋💋💋 :
kumbe mwamba alikuw mbele ya muda💪💪💪 kwa ss nakupenda mshangazi😂😂😂😂
2026-10-02 11:53:55
1
ayubuacson
ayubuacson :
Respect miker mwamba
2026-10-18 09:47:53
2
isayafrank8
isayafrank8 :
miaka 30 sjamwonaa
2026-09-25 20:12:39
0
kennedylymo425
job job :
sijui yuko wap kwa sasa
2026-10-18 20:23:40
0
kidanux
kida nux :
mika kumbe mzungu ?
2026-09-26 04:31:02
0
elivafondo
elivafondo :
mbon mumepotea sanaa aki rud game🥰🥰🥰🥰
2026-10-18 19:41:28
0
zeytoon04
Zeytoon Tunda 🍋🫦💍♎️🔐 :
Nakumbuka kwetu kulikua na banda la video watu wanalipia kuja kuangalia bonga na star tv kuangalia hz nyimbo 😂😂😂😂
2026-10-19 12:40:39
0
To see more videos from user @d_mponda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About