@drchinja: KIUMBE UTAKAYE MTUMIA KWENYE KAFARA NA MATOKEO HUWA MAKUBWA KULINGANA NA ULICHO TUMIA 1.NG'OMBE hubeba nafasi kubwa kwasababu huwakilisha mafanikio ya muda mrefu na makubwa zaidi 2.MBUZI NA KONDOO hubeba tafsiri pana katika ulimwengu wa kiroho hutumika kama ngao dhidi ya vitu vibaya na kufungua gold power ( nguvu ya dhahabu ) 3.KUKU kuku hadhuriki kwasababu ni ndege mwenye nafasi kubwa baada ya njiwa kwenye ulimwengu wa kiroho ukiwa na uwezo toa kafara ya ng'ombe utaona matokeo makubwa kwenye maisha yako Chinja ng'ombe / mbuzi kwa jina la mungu nia yako ni kufungua milango ya mafanikio yako kisha toa swadaka kadri uwezavyo -kabla ya kuchinja ifanywe dua kisha chinja mnyama wako, utakacho kipata ni zaidi ya ulicho kitoa tena kwa muda mfupi 🤝 #tanzaniantiktok🇹🇿#oman🇴🇲#qatar🇶🇦#turkey🇹🇷#kenyantiktok🇰🇪