kwan me nimemwambia natak ndoa ten akikaa vibay nawez mbadilishia njia sipend unyonge mimi😂😂
2026-09-28 13:25:51
179
Bahati Ryoba👨🏫 :
Sometimes wanajifurahisha tu na hawana mpango wa kuolewa na wewe😁
2026-09-28 13:51:07
326
mimah de bleez❤️🫂💫 :
Jamani sasa mtu nisihutubie bunge jmn khaaa tusipangiane🙌😂
2026-09-28 16:30:51
106
🎀Myra01_on_Trendy🎀 :
Mbona mie wa halali show zote na perform na Maiki now siwez Ana wasanii wengi naogopa 😂
2026-09-28 06:50:10
103
tee💔🔐 :
asa mtu asioneshe ufundi😂
2026-09-25 12:53:01
132
Raven🥰❤️ :
😂Kwan nan kasema anaitaka ndoa🤌🏻
2026-09-28 10:41:38
67
FAY_CANDY♈️❤️🔥 :
Mbna mmechelewa kusema jmn😅
2026-09-27 11:18:27
67
shanivalonge :
nachoka mi Single mother wa 2000
2026-09-29 08:51:51
5
sherry :
na tunafany hvo kwa mtu ambaye najua kbsa hawez kunioa so kwann nisihave funny😂😂😂
2026-09-28 10:19:35
56
A FIGHTER :
Yan nachoka ku view profile Kwa uzto wa comment 🤣🤣
2026-09-28 16:51:20
20
fayluu@mirra :
siwez acha ninacho penda mim😂😂😂😂
2026-09-28 13:47:07
12
🪴🌲🌿swax lady🔐♥️🫂 :
apoooo apooo apoooooo🤣🤣🤣
2026-09-28 10:21:51
7
Director Mobisho :
Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.😂🥲😂
2026-09-29 10:35:55
7
A N I T H A :
Huezi amini hiyo nyimbo nimejikuta nakata zangu uno 😂😂😂😂
2026-09-30 12:44:18
8
kodak10 :
kinachowapa kiburi😁😁
2026-09-28 19:07:39
8
mr terry :
nimechek kifara kwa sauti kwenye daladal waka geuka kuniangaliaa😆😆😆🤣🤣🤣
2026-09-28 12:26:11
6
zamda bakari :
sa mwenyewe ndo anapenda vocal zangu lazima nimuimbie anene kwa lugha 😁
2026-10-01 11:02:20
5
🦋🧸Naj de sweet🧸🦋 :
Sasa mtu nisitume salamu kwa marafiki na Jamaa jamani 🤣🤣
2026-09-28 21:06:45
12
Tino :
mwendo ni uleule tuna view profile kulingan na uzito wa comment 😂😂
2026-10-01 13:00:10
5
star🌟❤️queen🥰 :
mutajua wenyew banah m kaniambia anapenda 🤣
2026-09-28 07:52:19
6
asha_yusuph :
sasa mbona hamkusema mapema🥺
2026-09-27 17:51:02
23
zauna :
unajua unanogesha kumbe ndio unaharibu mngesema mapema sasa
2026-09-28 14:34:45
5
salxy🌺 :
Tatizo tukiandika mnaview profile[Tears of joy]
2026-09-27 15:48:25
8
Bellaworthy :
mbona una maneno makali ivo unaumiza moyo wangu 😌😌😌
2026-09-25 10:13:34
7
To see more videos from user @hints009, please go to the Tikwm
homepage.