@tuzoonline: Ahmed Ally na Ali Kamwe wamegusa meza yenye vinywaji vya gharama😂😂😂 Video Nzima Tayari Ipo YouTube Kwenye Channel Yetu Tuzo Online Bonyeza Link Kwenye Bio Yetu Kutazama #wajombalife #wajombatotheworld #tuzoonlinetunakupaunachostahili

Tuzo Online
Tuzo Online
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 10:11:20 GMT
87584
4129
40
62

Music

Download

Comments

mimmer_dimpy
Mimmer _Dimpy💫🥰 :
ila hawa sio wazima wallahi 🙌🙌😂😂😂😂
2026-09-25 10:48:12
59
lifeofhim26
🤴 :
ila hawa ni kama tom end jerry tu 😂
2026-09-25 12:08:42
21
saumumusa7
user9338088474549 :
Vichaa wamekutana 🙌🙌😂
2026-09-25 11:53:16
11
ishaahzenah
Ishaah_Zena🌹🥰 :
[Laugh approved][Laugh approved]dah
2026-09-25 14:10:38
1
lichimsdki
Lichi msodki :
mm napenda wakutane aooo
2026-09-25 10:48:58
20
mtanisic
mtani samwel :
hawa kuna namna wakifanya comedy watatisha sana
2026-09-25 12:41:58
9
madame.d387
madame d :
hawa rekod Yao haitafutika miaka yote na video zao zitatumika miaka yote
2026-09-25 13:48:23
6
nation.boy393
NATION BOY🇹🇿🇹🇿 :
Hii ndo maan halisi ya watani Jamaa wanaenjoy san wakikutan
2026-09-25 14:19:15
2
getruda.tesha
Getruda Tesha :
kuna maisha nje ya mpira 😅😅
2026-09-25 14:27:01
2
farhiyakhamis
farihiya :
tunawakubali sana hawa niwaungwana sana
2026-09-25 13:14:35
2
user6803911058398
max pamba kali :
msisahau libaseee motoooo,libaseee motoooo🥰😜🥰
2026-09-25 11:34:00
4
shamila1230
shamila 💦🇹🇿 :
ila haw jamn
2026-09-25 12:27:23
1
nainajkhan360
nainajkhan🩵 :
2026-09-25 13:56:48
1
yaumu.juma
Yaumu Juma :
🥰🥰🥰🥰
2026-09-25 13:28:59
1
melsopotianiuson
kaijage once again :
yaan huu ndo upendo tunao takiw tuuhubiri an hii ndo maan halisi ya kuna maisha baad ya kazi
2026-09-25 15:08:59
0
mamally1
Ummy Aysha :
Karibu Pemba
2026-09-25 12:31:31
2
kariakoo.derby
KARIAKOO DERBY❤️💚 :
🔥🔥🔥
2026-09-25 11:57:25
1
priskarpaullo
mom boys triple :
huui ndo utani raha sna mungu awape maisha marefu
2026-09-25 13:15:26
1
jm_delicious26
jm-delicious :
ukakolezaa😂😂😂
2026-09-25 12:24:38
1
cutiepocie
cutie Pocie :
kwan Ali kwamw anacomputer kichwan maan huyu jamaa ana majib ya papo hapo hadi raha😄😄😄😄😄
2026-09-25 10:42:03
15
ts_jojo12
Jojo Luxury accessories 🍬 :
Awa mkiwachekea watawapanda kichwani😂😂😂😂
2026-09-25 11:12:00
5
senso225
senso225 :
Pipa na mfuniko
2026-09-25 12:37:57
0
delvivine.togocho
Delvivine Togocho :
du ila hivi vichwa vikikutana😂😂😂😂
2026-09-25 13:27:20
0
omymsomal
omymsomal :
🤣🤣
2026-09-25 10:53:29
5
user6333503745583
tinah :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-25 10:28:08
4
To see more videos from user @tuzoonline, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About