@jose_chikunde: Fikra zisiishie tu kwenye ‘njoo ulale’. Jaribu kuwaza asipoamka unaepukaje hiyo miaka huko jela

Joseph Chikunde
Joseph Chikunde
Open In TikTok:
Region: FR
Friday 25 September 2026 10:12:12 GMT
275197
19926
1677
2488

Music

Download

Comments

dorry0166
dorry01🫆 :
Kwanzia leo stak mtu aje kwangu stak jaman
2026-09-25 16:09:43
450
priscaa.lucas.mis
PRISCAA LUCAS MISAGWA :
Staki mtu aje kulala kwangu ila mimi nitaenda kulala kwake nisipoamka atajuwa mwenyewe mimi nishajifia zangu [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-26 05:21:35
191
hildamkaile290
Hilda mkaile :
Je tusipo amka wote je 😂😂😂😂
2026-09-26 05:57:51
187
nonomart2
Nono💃🏼 :
Nitamwambia police hapa ni kwake na sio kwangu😂
2026-09-25 19:16:29
122
ishaa.muna
isha@⭐⭐ :
jmn achen kunitisha ndo nimefika jion hii au nirudi t
2026-09-27 16:11:15
63
adijakhamisi608
Adija Khamisi :
iyo kazi tulisha muachia mungu
2026-09-26 11:45:49
87
riziki3188
Riziki :
Ntamtoa nje usiku majirani wakiwa wamelala na asubuhi nijifanye sikufahamu🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-26 05:48:12
28
mussahusseni0
mussahusseni62 :
yan kuanzia leo stak kiumbe chamtu
2026-10-09 13:25:59
7
neema.kalekez
Neema Kalekez :
hilo nalo neno mh,😂😂 kama utani vile ila usiombe kwakweli,mm siombi ishindwe kabisa hiyo hali
2026-09-25 16:12:16
46
jayog47
fredy :
nitamwambia alilala hakuamka sijui kakutana na nini huko usingizin hata me sijui maana nilikuwa nimelala pia
2026-09-26 08:22:23
22
user7947702258611
sofia :
leo mwanzo namwisho staki mtu alale kwangu sitak
2026-09-29 11:15:31
9
zawadikarata54gma
[email protected] :
mbona twatishana Sasa jaman
2026-09-26 16:47:28
6
pasakaayoub
Pasaka Ayoub :
niongee kwa kusimama au kwa kukaa?
2026-09-26 14:30:02
13
user1923953309955
user1923953309955 :
mungu ndo anayejua bwana kuolewa hatuolew na wapenzi tukose kwan sisi mizuka au 😁
2026-10-09 16:35:54
6
user9190343993829
cute🥰🫶 :
ni mwizi tu nilimusaidia kulala kwangu😂😂
2026-09-25 15:20:00
5
dec_kid_
B.E.E🐝🐝 :
ngoja nifanye utaratibu hata wa mahari n pete ya uchumba wanijue kwanza ili likitokea nijue pa kuelekea😂😂😂
2026-09-26 00:19:43
8
lameck.salimini
lameck :
Kwan Kuna sheria inayozuia mtu kulala kwa mwenzake?
2026-09-29 15:48:18
5
missmars451
missmars🥰 :
nyie bwana msinitishe Jana tu nimetoka kulala na mtoto wawatu nimemtoa asubuh asubuh 🤣
2026-10-08 11:57:24
5
its.zai358
It’s zai :
Naona me jela mojakwa moja [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-26 11:03:15
10
user50478384993684
TINAH :
kumbe unamawazo kama yakwangu hicho kitu nawazaga sana[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-25 17:27:41
8
ellies972
Ellie's 🫧🦋🦋 :
Jmn we acha tyu nilishawahi kufikiria hicho kitu mungu hatuepushe 🙌
2026-09-26 05:17:36
6
user11673592270406
user11673592270406 :
jamani nani tena amefikiria haya mambo mna niogopesha
2026-10-09 00:25:28
6
hadijahaji05
hadijahaji411 :
wewe umenitisha kuanzia leo namwambia asije tena tukutane huko huko sitaki kesi miye
2026-09-25 14:41:55
11
user5306351741051
user5306351741051 :
mungu aliniepusha maaana Kuna siku nilimpeleka moto mtu akazimia niliona jela paleeeeee Ata nilishikwa na tumbo la kuhara nikaenda toilet 🪠🚽 nimefika TU naharisha zangu mara nasikia sauti inaita JiNA langu kumbe akazinduka NILIVYO Toka tuuuu nauli yako hiiii na ulio niomba hiiii ndiooo akaendaga Wala sikutaka Tena yanikute nilijuta
2026-09-26 03:22:37
9
priskarpaullo
mom boys triple :
mbona namwomba mungu kila lisaa nikiwa nae kuwa aingie salama na kutoka salama
2026-09-26 08:47:24
10
To see more videos from user @jose_chikunde, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About