kazi yangu ni kuzaa kwa uchungu mbona mnataka tubebe na adhabu yenu kila mtu akae kwenye adhabu yake aliyopewa na mungu tusifokeane bwana
2026-09-26 06:54:17
148
eunic elifasi moleli :
wanaume wengine awataki tufanye chochote jamni
2026-09-25 12:48:10
24
official j🌱🦅 :
kuna me nalala had sa 7😳😳😳
2026-09-25 16:03:21
10
safari gilr :
Na mwanamke ambaye anaamka kwenda kazini mwanaume amelala 😂😂😂
2026-09-25 12:59:34
61
charity charity😘 :
kila mtu na talanta yake jamani
2026-09-30 05:05:17
1
Neema kibonge :
Hata hii video naangalia nikiwa kitandani,Siyo shida zangu.
2026-09-27 16:29:55
9
Naa❤️🍀🍒 :
Mimi ananambia lala Mamaangu maana kunabaridi😒😂
2026-09-25 16:29:31
7
RITAH❤️ :
Nakumbuka huwa nalala mpaka sa nne tunakunywa chai na mwanangu badae tunaenda kulala Tena tunaamka sa kumi mwanangu mkubwa akirudi shule ili tupashe ubwabwa wa Jana usiku tule tukishakula madeki ndani naosha vyombo naenda kufata mboga ya kupika ucku nahakikisha sa moja kamili nishamaliza nafatilia azam two 😂😂😂😂 siku nilikaa nikafikiria ivi ndo Mme wangu kafa nitakuwa mgeni wa Nani ikabidi niombe kazi tu now nafanya kazi haina ata stress 😂
kuna Mimi sasa mtaji ninao mda wa kutosha ila ruhusa ya kufanya hizo biashara ndo Sina hapo dawa nikipata kibarua cha chap kama kufua kumfanyia mtu usafi natoroka siwezi kukaa ndani kwakweli Mungu anisamehe
2026-09-25 12:33:24
5
kabuga :
mboona kama ana nisema mimi jaman
2026-09-25 11:29:28
7
Reginah :
Mimi sijaolewa ila nmlala na nina mpango wa kuamka saa sita hv