@herman_mchome: Nimeona Umenivusha magumu , umeniponya magonjwa, kama una ushuhuda basi mshuhudie MUNGU na useme #nimejipata maana aliyeupande wako ni mkuu sana 🔥🙌🏾 #trending #jesus #daddy #gospel
haya majitu ya hivi mungu ameyabarikigi vocal ☺️☺️☺️elohim Kuna mda najiulizaga hii mitambo ndo ita ongoza sifa kule mbinguni☺️
2026-09-25 13:09:24
406
sr :
wimbo usiochosha na wenye baraka..barikiwa mtumishi...
2026-09-25 18:07:22
182
mimitz :
Do you have a girlfriend coz I think kwetu wanaweza kukupokea na sitaulizwa maswali mengi🤭
2026-10-02 10:04:23
16
Pinky cute🌸 :
Alinivusha kipindi ambacho sikuweza kama Ntavuka💪👏👏👏👏👏👏👏💪👏
2026-09-27 12:34:19
86
MATUI :
YESU NI MUNGU
2026-09-27 09:52:02
42
iam_fireboy3125 :
Tupe remix bc hata na mercy chinwo guys goma liende kimataifa
2026-11-10 13:17:31
7
Ms.kimmy :
iinyimbo inaitwajee
2026-10-20 08:52:46
7
E L I S H A 🌱 :
That’s My Brother 🫡
2026-09-26 05:04:29
35
Justa Gakii💞💞💞💞 :
my fave song right now..much love from kenya[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-26 17:00:37
9
Dax :
Sijui kwa nn nikisikilizaga nyimbo za huyu kaka nakuwa na wito wa kuokoka iyalikuwa me ni islamic🙏🙏🙏
2026-11-07 08:31:12
6
midnight_siren☠️🖤 :
wakati wa Jua killing wanifunika daddy ooh 🥰🙏
Tena wajua lipigapo baridi wanikumbata mbawani mwako🥰🙏
2026-09-25 19:55:49
16
T.mallic💖🙏 :
umetisha bro the song is amazing
2026-10-19 19:24:43
1
R.e.p.li_.1.ca_ :
Wakati wa juaaaa
2026-09-25 14:05:53
11
salmaa🥰🥰 :
leo ninashudia🔥🔥🔥
2026-09-25 11:39:23
14
@sally 🎧🎵♥️ :
bwana nimeona 🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
2026-09-25 13:19:18
7
🎤Nesima🎤 :
ubarikiwe mnoooooo nimeanza kukusikia ukisolo nikurejeshee daa mungu akuinue kwa viwango vya juu 🙏
2026-09-26 16:07:16
5
official_ministerdaud :
brother umetisha saan nakukubali🙏🙏
2026-09-25 10:21:04
6
Nicaragua🫶🇹🇿🍓 :
kwann mnaniimbia maisha yangu oooh Mungu awabariki sana nyie watu🥰👏👏
2026-09-25 18:26:17
7
TRIPHQ :
yan me nikisema watu wanene Wana mbingu Yao hamtak kuelewaaa Aya ona iyo vocal ata uwe wap unabarikiwa thanks more herman coz unaimba maisha yanguu kabisa 🙏
2026-09-27 12:47:33
6
Joh cabinet :
huyu jamaa nilikuwa namchukulia poa aisee he is talent
2026-10-15 11:14:38
7
Anthony Alone James!!!! :
Big yupo vzr san Amen 🙏🙏🙏
2026-09-29 11:42:22
1
emmy :
barikiwa
2026-11-09 16:27:21
0
Tanishya Sheila :
Akhy hii nyimbo inanigusa saaaaaana herman......ubarikiwe saaaaaana mtumishi
2026-09-26 19:02:51
1
isjoec🌹 :
hii nyimbo nikiimba nalia🥺
2026-09-26 12:42:52
3
Official04 :
Wimbo wangu wa kila wakati🔥🔥🔥
2026-09-26 10:46:11
2
To see more videos from user @herman_mchome, please go to the Tikwm
homepage.