@nchiyangu80: Viongozi wa Afrika kutembea kwenye viunga vya New York imekuwa habari kubwa Afrika, Sam Awami atoa mtazamo wake. #haki #viral #fyp #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #
kaka mbona magufuli alikuwa anaenda hadi kunywa kahawa mitaan na wananchi wake kwan alikuwa malaika broo shida hawa wameamua wenyewe kujichafua hata wakitoka madarakan hawatakuwa na uwezo wa kutembea mtaan kwa sabab ya hasira ya wananchi waliyoitengeneza wao
2026-09-25 12:08:11
2
Alice Lukoo :
lazima watembee maana parking hiko mbali sana
2026-09-25 16:44:02
1
SHABANI STORE :
Nimesoma comment zote
2026-09-25 13:43:56
0
BABA NAA :
Hii sasa zarau
2026-09-25 17:53:59
0
yuzzz :
Hawa wajui tatizo
2026-09-26 07:29:38
0
slow 09 :
yani wasumbue na vimuri kwa trump
2026-09-26 06:44:20
0
SESKO ⚽️ :
kwawenzetu akuna uhuni
2026-09-25 16:30:38
1
nil :
kumbe wanajijua
😂😂😂😂
2026-09-25 20:26:42
0
Eden Herbal :
Hakuna hata boda kwel?
2026-09-25 23:39:16
0
Mlage Abdul Mbonga :
sam ktambo sana rafik
2026-09-25 15:58:52
0
MbwaraNation :
Ulinzi upo apo mkubwa sana!
2026-09-25 18:31:15
0
k9 :
Parking ipo mbali sana🤣🤣 bro ila ingekuwepo karibu nisingetembea kwa miguu 🤣🤣 apo
2026-09-25 21:43:32
0
mleno luis :
ila mchimbi ameacha kazi nzuli sana kila mtu anaitamani daar kweli tunatofautiana jaman
2026-09-25 16:28:42
0
shukuru94 :
Sasa huko nan anamjua?
2026-09-25 17:14:07
2
""The Matthew Jr"" :
Ila watu,hivi kwanini waafrika mnazichongea nchi zenu!?.Hivi New York watu hawapigani risasi kila kukicha!?.Mh Ndejembi juzi tu tulikuwa nae jalalani huku na akatugawia matunda!?.Sasa hivi New York inaulinzi wa kila aina kutokana na UN assembly inayoendelea.Nachukia vyombo vya habari vya kimataifa vinavyofanya kazi Africa na wanaharakati wao,hawa jamaa hawajawahi kutangaza wala kuharakati mambo yanayoinufaisha Africa isipokuwa kuibomoa tu 😭😭
2026-09-25 15:59:04
1
Rughe Madevu :
Ni Aibu kwa African, wanatembea kwa sbb ni salama kuliko nchini kwao.
2026-09-25 11:05:41
1
kit .b :
yaani hawaoni hata aibu kwenye mataifa yao magari kibao kulindana tu kama miungu na wasiwasi wao ni hawachaguliwi na watu kwahiyo wanaogopa watu wao shame on them
2026-09-25 17:57:17
0
Angelo :
Huku kwetu mnatuona marofa ila kwa wengine mnadunda
2026-09-26 06:48:50
0
B :
utasikia mabeberu hawatutakii mema
2026-09-26 00:48:48
0
lemamolelilemamoln :
ajeatembee naukuivo
2026-09-25 20:22:07
0
black milla :
Tanganyika kabla ya uhuru Hapa Dar es Salaam ilikua hakuna tatizo la usalama.
mji ulikua una amani unaweza kutembea popote bila wasiwasi
hsli ilianza kubadilika baada ya wakuja kutoka bara kuingia Dar.
kule zanzibar Seyyid Khalifa alikua akitoka palace ya forodhani akipita mji mkongwe alone na akiendesha gari mwenyewe bila escort.
hali imebadilika sasa Waafrika ndio shida..
na hili sio jambo la kuongelea kwa namba hio.
huu ni ubaguzi dhedi African leaders na mahasimu wa marekani kama njia ya kuwadhalilisha.
pia hizo njia ziko cleared vibaka hamna njiani.
2026-09-25 23:41:51
0
Techn9ine :
wanatembea kuona mji unakuta ndo mara ya kwanza kufka new York
2026-09-26 06:38:43
0
Elimu TV :
UJINGA WA WAAFRIKA WASIOJIULIZA KWANZA:
.
KWA NINI WAZIRI MKUU WA ISRAEL BENJAMIN NETHANYAU AU RAIS WA CHINA AKIENDA MAREKANI, BARABARA ZINAFUNGWA NA VIMULIMULI JUU KILA SEHEMU...
.
NA PENGINE KUBEBWA MPAKA NA HELKOPTA...😳
.
KAMA JUZI NA JANA WALIVYOENDA MAREKANI MAPOKEZI YAO TOFAUTI NA MARAISI KUTOKA AFRIKA.?!?
2026-09-25 14:59:23
0
To see more videos from user @nchiyangu80, please go to the Tikwm
homepage.