nina swali moja mbona ukifanya tips za android Samsung yako naona haina update😳😳.. kwanini kaka
2026-09-25 17:17:50
5
Moses de paul :
Nina simu ya Samsung A71 ina tatizo whatsapp haifunguki inaishia kuonesha logo tu,, nifanyaje?
2026-09-27 12:17:17
0
JONA KHAN 🌹📴 :
samsung ikiwa ina kuwa ina jiapload af ina kuwa ina imeandia hiv ONE UI ina maana gan
2026-09-27 16:50:53
1
Naddo :
naomb unifundish namn ya kutoa matangzo kweny app
2026-09-26 19:24:10
1
Kitoy Azaeli :
kaka cm yangu. ilipasua kioo baada yakuweka tu kingne saiv haikai na chaj
2026-09-26 13:37:18
1
Andrew Ngahy 26 :
yangu aishiki mtandao alakaa
2026-09-26 16:12:05
0
kantona :
mbona sim yangu ya samsangi nikieka mb au gb mda uwo uwo ukija kuangalia unakuta mb akuna
2026-09-27 17:02:13
0
Mimright✨ :
vivo je?
2026-09-25 10:24:37
0
Mr K.vannt🍾 :
s10 sm yang inamaliza mb harak
2026-09-27 19:25:54
0
Jesse Mutharimi :
bro galaxy 06 mbona inaisha moto usiku ata bila kutumia
2026-09-27 20:01:59
0
ally hassan :
sim yngu inaingia nottifiction nikiwa nagany mamb yangu kwa mfano nip tik tok vidmate au nikikat sim wakat wa kuoigiw
2026-09-28 18:15:00
0
Petr Anicet :
BRO YANGU IMEPOTEZA BAADHI YAMA FILES ,BILA MM KUYA UNSTALLL,NAYARUDISHAJE MKUU
2026-09-28 20:12:50
0
esterjohn856 Ester :
yangu mbona Haina A17
2026-09-28 05:04:21
0
REALSMOKE :
jins ya kuweka mtandao speed kama nikiingia kwenye efootball mtandao uwe wa viwango
2026-09-25 13:22:30
1
kahiga :
nisaidie sm bahat nimeingia kweny setting nimejikuta nimebadili mwanga nasiwez kuludisha kama ilivyo kuwa mwanzo
2026-09-27 17:39:55
0
user3459690347422 :
simu yangu naomba ubaisaidie imekuwa na tatizo nikitaka kupiga picha inaniandikia storage haitoshi na nimefuta moves zote mpk picha lakini bado inaniandikia nafasi haitoshi
2026-09-25 12:08:53
1
Jesse Mutharimi :
bro simu yangu mbona inaisha moto usiku ata bila kutumia galaxy 06
2026-09-27 20:00:48
0
mř şîģäř 🚬🚬 :
namna ya kutumia app mbilli kwa wakati mmoja
2026-09-25 12:02:54
0
John Andrea :
me nataka nikiwa TikTok kilipu ikiasha itoke ije nyingine bila ta kutumia kdol chang
2026-09-26 07:25:34
1
Geoffrey njeri :
nothing like that
2026-09-27 13:51:08
0
idrack (boy from 🇫🇷 ) :
nakukubali sana kaka
2026-09-25 12:38:57
0
𝐊𝐈𝐙𝐀_𝐊𝐈𝐁𝐀𝐁𝐀𝐆𝐄@ :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-26 19:42:10
0
KING SORE BOY :
🥰🥰🥰
2026-09-26 05:57:00
0
kessyjunior255 :
🤝
2026-09-25 10:31:28
0
To see more videos from user @ubeparicompany, please go to the Tikwm
homepage.