ilishawahi kunitokea ivoo ivoo..nikamuagiza mtu anitolee nguo akatoka nje nguo hamna and truly the Holy spirit warned me the same thing as you have said
2026-09-25 21:13:50
11
Queen Teresa ❤️👑 :
Only spiritual people will understand this 🙏
2026-09-26 09:38:50
4
dellacruz :
yesu alikuja kuwaokoa watu wote 👏
2026-09-26 08:43:32
2
Aby :
Kumbuka ana wimbo na fid q.. em tusijudge watu
2026-09-26 03:44:51
16
I'm Gift❤️💯📍 :
Ila ndani 😂😂😂😂🔥watu na roho zao
2026-09-26 07:04:54
2
Luanga hassan :
lakini roho hiyo hiyo ilinwambia afanye collabo na fid
2026-09-26 07:51:50
3
herigodwin :
kunatofauti kati ya artist na minister mjadala ulikua unaishia hapo sema hekima ya bro ni🔥🔥🙌🏽
2026-09-26 05:42:09
12
CHANGER :
hizo ni madhabahu mbili tofauti mtangazaji
2026-09-26 04:23:32
6
Omiles :
sasa yeye ni Mtumishi, zidi kutumika kwa kumsikiliza roho Mtakatifu wewe ni Mtumishi kaka❤️❤️
2026-09-26 04:28:38
6
ndishini :
Hapa Paul Clement alikuwa anajichanganya tu, hana msimamo unaeleweka kwanini hawezi kufanya collabo. Anasema haelewi afanyaje
2026-09-26 06:03:21
1
commando john69 again :
nakukubali sana kaka🔥🔥🔥
2026-09-25 10:43:42
6
Sabreena🖤😮💨 :
Mbona mbosso kaimba na haya mamtazamo hayakuwepo
2026-09-26 05:55:51
0
BrayohBright :
Sio kila msaanii wa nyimbo za injili ni mwinjilist
2026-09-26 05:49:09
0
Isaya Madati :
tunakuamini kaka acheni kuimba na wamataifa hawa wamataifa wambieni habari za Yesu waokoke
2026-09-26 07:04:12
1
AlOddoh :
kamshaur joel lwaga tunampoteza huko
2026-09-26 07:25:27
0
Gadnelly Jailus :
Saf san
2026-09-26 06:11:26
0
Mr,sam :
uko vizuri SANA Broo ☺️☺️
2026-09-26 06:55:18
0
To see more videos from user @dip.bulova, please go to the Tikwm
homepage.