si ndio huyu huyu alimpa red card yusuph kagoma dhidi ya Berkane?? au mie namwonaje?
2026-11-08 10:30:27
0
AMANI• #PC#√*$€G :
Kama kule zanzbar tulizurumiawa goli la seleman mwalim bac ili nalo sio goli
2026-10-24 11:00:12
9
Mr unknown 🥷 :
me nampend cause alitupa furaha kweny hyo mech kama angeruhusu ni goal basi wanasimba tungehama nchi
2026-09-25 19:29:22
14
queen nana :
mm kutok kwa mamelod nimefrh maan walituzulum gori
2026-10-24 05:54:29
7
Emmanuel.M.Isuna :
Yaani huyu refaree jamani waga nakumbuka mpaka naumia kweli
2026-10-05 07:06:47
6
Hunter boy :
Wakati mwingine wachezaji wetu inatakiwa wajifunze kwa waarabu ikitokea wakati kama huo uwaga wote wanakuwa na ushirikiano kama kumzonga mwamuzi wanamzonga wote na mpira unasimama lakini hapo ilionekana aziziki tu basi wangefanya mgomo mbona ingeamuliwa goal hiyo
2026-09-25 13:07:59
6
@@kishada boy.. :
an tiwa
2026-10-07 13:00:05
1
mashalhaa :
ss tunampenda san
2026-10-15 00:56:51
1
hasani hasani :
dhuluma sana inatia hurumaaa
2026-09-30 09:48:39
2
warukwasi brand :
umenikumbusha mbal san
2026-09-28 21:23:24
1
Hussein bilali :
hamna refa hap
2026-10-04 12:23:12
1
0671676356 :
me wa kwanza
2026-09-29 19:05:40
1
Alex Josephath :
Mimi namchukia😅😅
2026-09-27 07:51:18
1
vicentrogers1 :
goli la wazi
2026-09-30 12:28:37
1
Rama Hassanjum :
mimi wanza
2026-09-25 16:47:29
1
Rajabu D :
mm
2026-10-15 13:15:54
1
D❤️😘W :
mm
2026-09-26 10:39:12
1
yese shubath :
ref
2026-09-25 12:12:00
1
RASHEED :
nampenda mpka leo😅😅
2026-09-26 05:34:10
0
elickmasanja :
mm wakwanz
2026-11-02 14:49:47
0
Tracks Malone :
watanzania kwa ujumla mana sio yanga tu simba pia alishawahi kutua
2026-09-26 15:48:26
2
Prince Emma :
hii video inaumiza ,sitaki kuikumbuka hii siku😩😩
2026-10-08 10:03:36
2
£lly🤟_phan🐇 :
tunaompenda tujuane
2026-10-13 09:25:58
2
To see more videos from user @footy_hq04, please go to the Tikwm
homepage.