@itslinangwa: Kutokana na tahadhari ya mvua za El Nino Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limefanya marekebisho ratiba ya mitihani ya kitaifa na upimaji iliyotakiwa kufanyika Oktoba na Novemba mwaka huu. Akizungumza leo Ijumaa Septemba 25, 2026 Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir amesema uamuzi huo umefanyika ili kuhakikisha usalama wa mitihani hiyo, wanafunzi na wasimamizi. Amesema pamoja na taarifa zilizopokewa kutoka katika mikoa kuhusu maandalizi ya kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua hizo, wizara imeona kuna umuhimu wa kufanya marekebisho ya ratiba ya uendeshaji wa Upimaji na Mitihani ya Taifa kwa mwaka 2026. "Lengo la marekebisho ya ratiba ni kuhakikisha usalama wa wanafunzi, walimu, wasimamizi na maofisa wengine wanaohusika na uendeshaji wa mitihani, pamoja na kulinda mitihani, vifaa na nyaraka za mitihani. Iwapo mvua kubwa zitatokea mwezi Novemba 2026," amesema. Kwa mujibu Katibu Mtendaji wa Necta, Profesa Said Mohamed, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utafanyika Oktoba 5 na 6 badala ya Oktoba 21 na 22, huku Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili uliopaswa kufanyika Novemba 17 na 18 sasa utafanyika Oktoba 7 na 8. Aidha, Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili uliopaswa kufanyika Novemba 2 hadi 13 sasa utafanyika kuanzia Oktoba 12 hadi 23 wakati Mtihani wa Kidato cha Nne ilioapaswa kuanza Novemba 9 hadi 27 sasa utaanza Oktoba 19 na kumalizika Novemba 6, 2026. #pppppppppy🔥💯 #viral

Nastofficialy
Nastofficialy
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 10:27:58 GMT
159808
4830
132
748

Music

Download

Comments

user76145612542278
user76145612542278 :
mungu wasaidie vijana wetu wafanye vizuri mitiani yao
2026-09-25 13:13:07
39
eva444768
Eva🥰 :
mungu naomba wasaidie watt wetu wafanye vzur.
2026-09-25 12:14:39
19
pety.marck
Pety Marck :
Mungu ndiye ajuaye siamin hiyo elmino labda mvua za kawaida
2026-09-25 12:06:15
49
pendo1882
pendo :
Mungu wasaidie watoto wetu
2026-09-25 12:23:13
9
user7590379074540
Eunice. :
Mungu tuomba sana utasidie na utulinde na hii mvua pia watoto wetu
2026-09-25 13:20:13
15
joan34448
joan :
Mungu awasaidie wadogo zetuu
2026-09-25 12:22:39
11
user4707743855709
user4707743855709 :
HAITAKUWA KWA JINA LA YESU HONDOENI VITISHO JAMANI
2026-09-25 12:40:55
9
aisha.iupola
Aisha Iupola :
mbn darasa la saba atujasikia trh yao ?au mm ndo Sina macho sijaona maandish vzr
2026-09-25 15:10:48
5
janeth7009
janeth :
mungu simama na mtto wangu...we mungu wajua utakavyo walusulu watto wetu
2026-09-25 12:51:13
5
sabra.kimario
Sabra Kimario :
mungu awasaidie watt wetu
2026-09-25 12:43:25
3
emanuelmussadaud18
emanuelmussadaud1 :
mungu aje asimamie t2 katika mitihani ya watahiniwa waweze kufaulu vizuri
2026-09-25 11:43:41
10
mikaellupogo
Mikaela Lupogo :
ee mwenyezi mungu tulindie watoto wetu mashulen
2026-09-25 12:58:56
8
mburo81
mburo :
ASANTE SANA NDUGU KWA TAARIFA
2026-09-25 13:18:37
5
yessemlengo1307
yessemlengo :
jamani mbona Imani imekua ndogo kiasi icho ebu kumbukeni bx kolona tuliponaje
2026-09-25 13:19:26
4
imaculate.blassiu
Imaculate Blassius :
wafunge na shule watoto wasikilizie nyumbani na wazazi wao
2026-09-25 20:10:34
1
user3982871241688
Genstar commedian :
Eeeeh Mwenyezi Mungu tusaidie sisi waja wako
2026-09-25 16:00:41
2
khadija.abrahman6
khadija abrahman :
kwahyo baada ya mitihani tutafunga shule?
2026-09-25 18:18:21
1
kokulebadaud
kokuleba :
mungu naombA uwasimamie watoto wangu wote wawili form four na lanne
2026-09-25 15:08:42
2
talhiy2
talhiy@😍🥰 :
tunakuomba mungu uwasaidie watoto wetu
2026-09-25 18:26:59
1
user8781235438316
user8781235438316 :
Mwenyezi MUNGU awasaidie wadogo zetu.Amen
2026-09-25 18:16:52
1
swadati.mmbaga
KISTEN BUILDERS :
Mungu hajawahi pangiwa na Hanaga Msemaji wake
2026-09-25 16:59:37
3
mamaliana36
Aminata Yusuph :
ss hy ni tanzania bara na huku znz jamani waangalie hili jamani kipindi cha mvua ni stress kwa wanafunz
2026-09-25 13:03:10
3
user75158463510722
user75158463510722 :
bora ata wafunge mapema
2026-09-25 14:03:35
1
nifer49608
Niffer :
Mungu simama na watoto we tu
2026-09-25 12:42:06
1
aishamsemwa548
aishamsemwa548 :
Mungu awaongoze watoto wetu katika mitihani yao
2026-09-25 12:46:07
3
To see more videos from user @itslinangwa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About