Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@www.matola123: MABADILIKO YA RATIBA YA MTIHANI WA UPIMAJI DARASA LA PILI 2026 🚨
𝗬𝗮𝘀𝗶𝗻-𝗠𝗮𝘁𝗼𝗹𝗮 🇲🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 11:10:24 GMT
122907
1512
122
214
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
0MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
miss.v.de cute :
Mungu akawe ndo peni na karatasi awafunike na damu yake takatifu
2026-09-25 17:04:52
12
thecla kambilyl :
mungu naomb simama na watoto wet kufungua faham zao za akili na afya njema amin
2026-09-26 06:21:43
2
miracle :
Mungu wasimamie watoto wote wa darasa la pili wavuke salama
2026-09-25 16:40:41
27
Momie Hyman😘🦋 :
Kila la kheir watt we2 kwny Mitihani YENU mung akawape mwanga pia mung AKAKUBARIKI KIJANA wang ukafanye VIZURI inxhaallah
2026-09-26 05:23:44
1
MAMA SALMA :
MUNGU msimamie mwanangu afaulu Katik mitihani hii Amina🙏🙏🙏
2026-09-25 19:56:37
4
Eunice Faustine :
mungu simama na wanafunzi wete wa dalasa la pili wakumbushe watoto wote kijana wangu nae miongoni mwao
2026-09-25 16:13:02
7
salo_bby2 OUTFIT🥰 :
Mungu wasimamie watoto wetu kama namuona mwanangu jamani imekua gafla😳
2026-09-25 22:08:11
1
mama lao :
yarabi wajalie watoto wote wanao fanya mitihani wafanikiwe ktk upambanaji wao uwat8e nguvu uwafungulie ufahqmu ktk kujibu mitihsn8vyao amiin
2026-09-26 04:44:51
1
IT'S ME ❤️🩹❤️🩹❤️🩹 :
mwenyezi mungu awasimamie katka mitihani yao inshallah. pia mungu mbaliki kijana wangu kwenye mtihani wake.
2026-09-25 16:07:33
5
Pascazia Mboso :
mungu waongoze watoto wetu na wangu akiwemo
2026-09-25 19:59:11
1
mama Nelson :
mwenyez Mungu akawe kiongozi wa wanangu wa la pili na kidato cha pili na watoto wengine wote
2026-09-25 20:08:22
1
madam 🌹 :
mwenyezi MUNGU akawatendee neema na baraka katika mitihani yao, kijana angu akufanye vyema pia
2026-09-25 21:37:34
1
gifty :
mungu wasimamie watoto wetu mungu usimuache mwanangu ukampe mwanga ktk Mitihani yake
2026-09-25 20:59:53
1
Moonlight ✨️ queen 👸 :
Mungu wasimamie watoto wote wafaulu vizur
2026-09-25 20:40:58
1
🦋❣️Niamh🩵🦋 :
hamjaandika na bei ili tujueee kabisa
2026-09-25 17:32:17
1
babyaltist :
Me nimeambiw na mwanangu nikabisha kaniomba adi ela et wanalipia
2026-09-25 19:48:59
1
Nashu Nasrah :
Mungu wangu amsimamie bint angu na watoto wote wa darasa la pili wafanye vizuri ln Sha Allah
2026-09-26 08:24:39
0
💕Ukhty Zay 💕 :
mungu awape ufahamu wanangu mkumbuke yote mliyokumbuka
2026-09-25 15:50:13
5
beautifulymom :
Mungu awasimamie na kuwakumbusha watoto wote AMEN
2026-09-25 19:42:16
1
Wanzita Wilfred :
ee mungu simama kwa ajili ya mwanangu mfungulie uwelewa na umakini
2026-09-25 21:15:10
1
Ney_mkamba :
Mungu akasimame na mwanangu pamoja na wanafunzi wote wa darasa la pili nakataa roho ya usahaulifu katika jina la YESU Amen 🙏
2026-09-26 03:00:12
1
Dinah Shaban :
mungu akawe nguzo katika mitihani yao
2026-09-25 19:56:58
4
Luiz Fernander🌹 :
roho mtakatifu akawakumbushe yote mliosoma watot wazur🙏🙏
2026-09-25 17:03:54
2
waziri mo :
ukifell je wabaki ilo ilo
2026-09-25 19:14:06
1
janekavishe2 :
mungu awasimamie waweze kukumbuka yote waliyofundishwa
2026-09-25 16:39:29
1
To see more videos from user @www.matola123, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
@Shirin_usta_sac elleri qizil vusu❤️😘#kesfet
..........سـامـحـنـي بـقـا #fyp #foryou #foryoupage #viral
Tham gia ngya thử thách 9PM Reminder Sound, 9H tối cùng Vitamin E thiên nhiên để giảm stress da và chăm sóc da từ cấp độ tế bào #StressDaOxyHoa #Enat #VitaminEThienNhien #GiamStressDaTuGoc #Challenge9PM
9H mỗi tối, uống Vitamin E thiên nhiên và cùng giảm stress da từ gốc nhé 💚 #StressDaOxyHoa #Enat #VitaminEThienNhien #GiamStressDaTuGoc #Challenge9PM
Phòng bếp hiện đại #noithattugia #thietkenoithat #thicongnoithat #xuhuong2026 #phongbep
المكان والجو 🙂↕️ ... #هروب #1080p #اكسبلور #المملكه_العربيه_السعوديه #60fps #الجودة #fyp #foryou
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy