@paza_sauti_media: #Pichani ni Askari ambaye hajatambulika jina lake anayetajwa kuwa na upendo kwa kila mtu, ameonekana akimsaidia mhitaji ambaye alimkuta akitekeleza majukumu yake na kumuomba pesa ya kula. Askari huyo hakujiuliza mara mbili alimtolea kiasi cha pesa kisha kumpatia ndipo mhitaji alipomshukuru kwa kumpigia magoti. 🔴Kigamboni, Njia Panda ya kwenda Kisiwani.

Paza Sauti
Paza Sauti
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 11:13:28 GMT
266894
15648
417
177

Music

Download

Comments

nicowilliam423
Nick :
huy askar acha tumtakie maish maref na yeny baraka.
2026-09-25 11:57:28
538
vee.wenaa
vee wenaa :
Roho imeniuma huyu alivyopiga magoti jmn🥹
2026-09-25 12:30:41
84
winnie_deecute
it's me 🖤 :
mim ndy huyo nilie vaa jezi ya simba naangaika kuvuka barabara
2026-09-25 12:54:29
53
khamicymzinga
khamicy mzinga :
Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mwenye nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman
2026-09-25 12:18:50
56
allydaddy80
my name is.. :
wabaya si wote! kama umemkubali uyu askari gonga like apa
2026-09-25 11:49:20
372
rahelmimbi
rahelmimbi :
amefanya ivi kwa kuwa alikuwa anajua anarekodiwa
2026-09-25 13:00:07
18
user48006699725105
user48006699725105 :
hiii mbona kama content bana huyo aliyerikodi alijuaje kama atamsaidia mtu hapo ????
2026-09-25 12:24:36
33
tricycharlz
TK :
Huyo anayehaha kuvuka barabara ndio mie sasa 😂
2026-09-25 12:28:10
22
magrethlaizer2
magreth-laizer :
God bless Tanzania🇹🇿
2026-09-25 15:10:52
0
thegatrena1
Am gatrena🤍🏹 :
naomba no yahuyo askal
2026-09-25 12:03:28
15
dantecruise213
Dante Cruise213 :
Pure heart ❤️
2026-09-25 13:54:46
1
shebby_tozzy26
shebby_tozzy🔥 :
pesa ya dereva unatumika Kila sehemu Madereva tueshimiwe
2026-09-25 12:50:38
18
yusuphu.hemedy0
Yusuphu Hemedy :
ajali zinazojitokeza zote na matukio mabaya yanayoendelea basi yapite mbali ya huyu askari
2026-09-25 12:01:55
22
cyprianlupala85
ziggy dee :
one love
2026-09-25 12:27:27
0
user1614406730246
user1614406730246 :
mm ndio huyo ninayeangaika kuvuka barabara na jezi yangu ya mnyama
2026-09-25 12:42:12
13
mrtraveler225
TOT>BAYA ZURI KWA BABA 🇿🇦 :
huyu atuna shida naye
2026-09-25 15:04:51
0
joe488955
Halleluya Electricia :
Mungu akuongezee nyota Tano mabegani mwako,Utambe Kwa kulitukuza jina lake Daima giving is not giving up, respect
2026-09-25 12:17:48
25
riziki_tz8
Riziki_tz8 :
blessing yooooooh!!!
2026-09-25 11:52:10
2
georgecharles310
G Vicky🧠 :
UISHI MIAKA MINGI AFANDE🤲🫡🫡🫡
2026-09-25 12:22:05
7
dipefa
Dipe wa Chitoti :
kuna wengine ile tarehe walikuwa likizo, naamini pamoja na huyu traffic.
2026-09-25 11:55:57
8
mazuri_jl
MAZURI PHONES :
Aisee sipendi kupigiwa magotiiii🙌🏿🙌🏿🙌🏿
2026-09-25 12:49:38
6
nenga200
user6707177210332 :
askari jitokeze pls tunataka tukubless na wewe ufurah kama alivyofurahi mshikaji.much respect bro
2026-09-25 12:47:15
6
thedowntownowl
The East African Millennia :
hii nyimbo nimeitafuta sana
2026-09-25 15:10:59
0
gmelanin8
Gee🥰 :
Huu wimbo mi unanipaga huzuni
2026-09-25 13:24:29
0
machiba59
Machiba59 :
bado hata hajasave kitu apo 😂
2026-09-25 12:40:07
0
To see more videos from user @paza_sauti_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About