@www.matola123: 🚨MABADILIKO YA RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA PILI 2026 . SOMA 🙏🙏

𝗬𝗮𝘀𝗶𝗻-𝗠𝗮𝘁𝗼𝗹𝗮 🇲🇿
𝗬𝗮𝘀𝗶𝗻-𝗠𝗮𝘁𝗼𝗹𝗮 🇲🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 11:14:05 GMT
26041
273
25
45

Music

Download

Comments

ayra.mnyamwezi
Ayra Mnyamwezi :
Eee mwenyezi mungu nakuomba umvushe mtoto wangu kwenye hili kamfanye akawe kichwa na sio mkia Amina
2026-09-25 13:04:52
5
aziza.moze
aziza moze :
eh mwenyezimungu mjalie mdogowang asiwe na waswas wala ofu afaulu vyema mitihan yake
2026-09-26 13:21:38
1
mariammsikamo
mariabellah :
Yaa Rabbih ikawe kheri kwa watoto wetu inshallah [Pray]
2026-09-26 16:33:34
2
user9247853437498
M
ee mungu naomba mwanangu ukamsaidie katika mtihan wake akawa kichw na sio mkia🙏🙏🙏
2026-09-26 15:58:22
3
hamisaally247
nirah💝💝 :
eee mwenyez msaidie mdogo wangu afanye mtihani wake vizur muongoze katika Kila jambo mtie wepesi usimwache Amina🤲🤲🤲🤲
2026-09-26 08:29:20
1
queenhaifa02
scorpio queen♏️😍😍 :
mungu amvushe kijana wangu akafaulu kwa jina la yesu mwenyezi mungu akamtangulie kila mtihani ukawe mwepesi kwake🙏🙏
2026-09-26 07:55:27
1
metronidazole.mic
petronila :
eeh mwenyez mungu nakuomba kukambushe mtoto wangu akawe kichwa na so mkia na wanafunz wote wa darasa la nne naomba ukawaongoze vyema katima masomo yao
2026-09-26 18:46:23
2
lizbethy214
lizbethy :
mungu muongoze mwanangu akafanye vyema
2026-09-25 18:03:34
1
user7237182877816
feda :
Eeee Mwenyezi Mungu Msaidie Mwanangu Afanye vizuri Asiwe na Hofu
2026-09-26 09:49:44
1
getrude.gerald
Miss Kitundu :
mbona kama unagongana na wa darasa la pili jmn
2026-09-26 10:44:39
0
najma.mussa82
Najma Mussa :
mng mfanyie wepes binty yangu
2026-09-26 21:18:19
0
mama.ammy59
mama ammy :
Ee mwenyeez mungu kamvushe mwanangu salama katika mtihani wake umuondoe hofu
2026-09-26 21:02:09
0
lista.mwabulambo
Lista Mwabulambo :
mungu mpe ujasili mwNangu
2026-09-26 13:21:26
0
irenmshana
eliana :
mungu mmbariki binti yangu na wanafunzi wenzake wote waweze kufanya vizur Amen
2026-09-26 16:11:28
0
user505591757472
Paulina :
ee mwenyez mungu naomba umuongoze wanangu kwenye mtihan akawe kichwa na sio mkia🥰
2026-09-26 17:04:05
1
user7237182877816
feda :
🤲🤲🤲🤲🤲🤲
2026-09-26 09:50:24
1
To see more videos from user @www.matola123, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About