Alafu kuna mwenye ako busy kukosoa nyimbo za mwingine, humans will never change. Wimbo mzuri
2026-09-25 20:31:17
24
dazzling :
God listen to your people.
2026-11-08 09:31:38
0
wizzy best🧭🏟.... :
mim sijawaelewa wimbo😳
2026-09-26 05:36:48
2
prince iano 005 Nanyuki :
nice song
2026-11-07 18:02:38
0
Esma musa bonnet 🇺🇬🇰🇪 :
Hii ngoma kila nikiiskilza machozi yanitoka😭😭
2026-09-28 04:43:48
23
sabaya nelson :
wimbo mzuri sana watu hawaelewi kwamba kila kiumbe hai ni cha Mungu hatakma ni mkoseaji kiasi gani bado ni wa Mungu watu wasipene kukashifu kila kitu maana kilakitu kinasababu yake hata wanaojiona ni wema sana unakuta ndo watendaji maovu zaidi
2026-09-26 07:43:46
13
Star Mfukwe :
dah so kwamba nnawivu ila kuimba na mond me sisapot kbsa coz dah
2026-09-28 20:23:16
1
Maman de plusieurs💫 :
Ihiii nyimbo ni baraka kwangu ina ni tiya moyo🥹🥹🤭🙏
2026-09-26 05:48:06
15
Damola Adefolahan :
thats how God works
2026-09-25 15:00:55
7
MTANGANYIKA WA MBINGUNI :
apo kwenye Bill amenikumbusha mapacha wangu wapo hospital bill imekuja million kasolo alafu kazi udereva namwambia boss akanitosa but MUNGU si mwanadamu
2026-09-26 08:36:05
4
fazo :
🎶Unapowabariki wengine usiniache na Mimi, usiniache na Mimi🎶
2026-09-26 06:19:01
1
happy@@ :
wimbo umenibariki sana jamn
2026-09-27 05:36:46
4
🐻🐻Jackie ❤❤ :
ila hii nyimbo jmn sitaki kusema neno mm ila niliskiza kwa kuirudia rudia inanipa raha furaha pia unaeza ukalia wakat mwingine
2026-09-26 14:56:18
8
G msangi :
kuna atu wanataka kuleta vita ya udini
2026-10-01 08:23:26
2
Gift🦋🥹❤️ :
Nikumbuke mungu wang nayo yapitiya unaya juwa mungu wang nitapeleka wapi matatizo yangu kama sio kwako 💔💔😭😭😭🤧🤧🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻
2026-09-28 19:07:51
2
Gracii :
Sina chakusema zaidi ya Amen
2026-09-26 12:16:37
3
promise💦 :
😭 nitamwambh nani kama sio ww
2026-09-26 15:17:13
3
mom boys triple :
inatia moyo Kwa wale tunao ptia Hali ya kukata tamaa na kusimama Tena mengne tuwaachie wajuaji wa dunia
2026-09-26 07:48:07
2
Man LG💪 :
wimbo uliojaa faraja na ujumbe wenye kumkumbuka mungu wetu, safi vijana wenzetu mmfanya kazi nzuri sana
2026-10-02 21:45:05
1
Juan Diego :
sina haja ya kwenda You tube tena🤣
2026-09-26 07:37:23
1
3066lian :
Uzuli mungu habagui na atarudi kuwakomboa waliopotea hongereni sana mungu anatupenda sote yeye siyo kama binadamu nimeipenda sana Toeni nyingine
2026-10-06 10:12:47
1
Grace Chizenga :
Wimbo unagusa sanaaaaa ❣️
2026-10-21 07:28:40
1
Yuzzo punta :
VIDEO NZIMA MAISHA YA UKWELI
2026-09-26 08:48:22
1
Naina 🇵🇰 🇹🇿 :
waimbe na nyingne coz nimeipenda Sana hii
2026-09-29 19:15:49
1
El Capitão :
Anapita mulemule 💪👏🙌🤲🔥
2026-09-26 01:56:43
1
To see more videos from user @almasizapwanibyjojo, please go to the Tikwm
homepage.