@upendonkone: NI KWA NEEMA YA MUNGU TU🙌#fyppppppppppppppppppppppp #fypシ#fypシ゚viral #tiktokkenya🇰🇪 #viral#viralvideo #viraltiktok #fypシ #shorts #upendonkone #goviral #viral
woow unasauti nzur sana Mama yenye uwezo wa mangu ndan
2026-09-29 10:04:08
52
mfukodoctors :
one of humble and down to earth gospel artist I east Africa
2026-09-30 19:19:43
11
Anitha😘 :
amen! amen! barikiwia sana Mama
2026-09-30 13:03:17
16
Husna A 🔬 :
Kusema ukweli leo ndiyo nimejua kama huyu ndiye Upendo Nkone 🤭🤭🥰
2026-09-29 15:31:36
22
Jacker welding :
Uyu mama amebarikiwa kipaji cha kuimba
2026-09-29 17:03:54
19
zuuh :
nyimb Zak zinabarik wat weng san
2026-09-30 15:59:24
19
Samson kivuma :
Sauti yako ni ya Kipekee sana mama mungu akutunze kwaajili ya kutubariki kwanyimbo zako nakupenda sanaa
2026-09-27 17:56:12
16
Velmin :
daah kitambo san mamangu nakukubali vibaya san
2026-09-29 20:29:38
12
EZEKIELI CHEDIELI@08 :
mungu akupe umri mrefu mamaa, vijana tunaompenda mungu tunapata faraja tukikuona
2026-09-29 17:50:03
9
Rose 🌹 designer :
Mama Yani saut yako tu inautukufu mnooo tena imejazwa na roho mtakatifu aaaaa mungu awez kukuu acha mama angu i love your ❤️
2026-09-30 21:05:12
7
@paulake71🔷 :
aww sauti inaleta itukufu🥰
2026-09-29 07:21:58
8
erickjosephpraise5 :
nime wai kuuimba huu wimbo piya mamangu
https://vt.tiktok.com/ZSbBXTLfH/
utaku bariki tena zaidi🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-09-29 19:20:55
16
masterken.tz :
asubuhi hii ni kwa neema tu ya Mungu
2026-09-29 08:14:13
15
🌼🌸Wany romance m🌼🌸 :
Un jours je serai millionnaire , je chanterais cette chansons oui c’est pas loin 💰💶💴💵
2026-09-30 10:25:01
7
gideonsking :
sijui ni mimi tu jamani,yani waimbaji wa zamani ukisikia nyimbo zao kuna hali unajiskia kama kulia kuna hisia za kimungu unapata saizi nyimbo ya gospel unasikiliza kama unasikiliza bongo flavor tu
2026-09-29 19:30:58
5
worship minister :
name of the song plz
2026-09-29 16:34:39
11
user1729202715986 :
sawa MTUMISH WA MUNGU HALIE HAI KWEL UNAIMBA JAMAN
2026-09-29 10:38:55
5
To see more videos from user @upendonkone, please go to the Tikwm
homepage.