@minobongo25: Kwamujibu wa meneja wa Nandy anasema aliwauliza Basata Je Lile vazi la nandy kwenye jukwaa lilikua na shida yoyote!? walimjibu halikua na shida yoyote bali lilitengeneza Taharuki yoyote.
tulio angalia live ya tukio tulijua nguo aina shida
2026-09-25 15:28:09
9
Amigo De gratious :
waliotaaruki ni mashabiki au basata
2026-09-26 08:19:57
0
madam tee :
Nguo haikua na maadili kweli mbona siku zote hua anavaa vizuri na watu hawaleti taharuki
2026-09-25 19:20:49
0
% :
basata basata basata
2026-09-25 12:22:59
3
NTUZU OG :
😂😂😂 hii ni maajabu
2026-09-25 17:36:30
1
yuzzz :
Tanzania iuzwe tu hata kwa trump tuko tyari
2026-09-25 19:32:39
0
khalfan daud :
basata hakuna kitu
2026-09-25 20:18:09
0
Raymond Msimbe :
vip kuhusu ma miss hawatengenezi taaruki na nguo zao za ufukweni
2026-09-25 20:15:52
1
babee D.. :
Acheni kujifaliji ingekuwa haina kosa apo mpo kufanya nini😅😅😅😅😅
2026-09-25 14:47:54
0
MAMA JIMMY :
Bas wavae vitenge basi
2026-09-25 17:59:30
1
👄 donnah🌹🌷 :
Kwanza FAINI ni mojawapo ya Rushwa 👌🏾😏
2026-09-25 14:13:52
1
CHIEF NGWESA :
Basata wameshindwa kazi nashindwa kuwaelewa maana wanataka mapigo ya msondo Ngoma nawakati sasa hivi tuko zama zingine wasanii mi nawashauli muwakatae maana hawajui kusoma nyakati . Uongozi ubadilike tu kama makocha walioshindwa kufikia Marengo ya timu.
2026-09-25 22:48:41
0
ginah❤️ :
Ile ngoz ya nguo watu walijua ngoz yake kumbe ni ngoz ya nguo
2026-09-26 07:54:14
0
Rehema fondo 🦋🦋🦋 :
Uzuri kenya hakuna mambo hayo lakin huyo mama samia anataka mvae kma yey venye anavaa [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-26 04:30:10
0
Faheem Sarwatt :
🥰🥰🥰
2026-09-26 06:29:49
0
Amana cute :
😂😂😂
2026-09-25 13:19:32
0
To see more videos from user @minobongo25, please go to the Tikwm
homepage.