na ndio siku ambayo niliibiwa simu kwenye daladala nikiwa naiangalia hii free kick dirishani😂
2026-10-01 12:29:13
7
waziri parumelo herry :
Mungu ambariki injinia Heris kwakumuona KIAZIZ
2026-09-26 05:58:52
15
TA NDIKOLA / AGINESI I LOVE U :
YANGAAAAAAAAAAAAAA BINGWAAAA ALLOOOOOOOWEEEEEEE O
2026-09-28 13:17:00
5
Zinyo 🥊..⚽ :
huyo mshabik aliovyokua anatetema 😅😅😅🙌
2026-09-28 12:27:15
4
Mtanzania🇹🇿🇹🇿 :
2026-09-26 15:20:12
5
Trish richard :
Goli la kwanza tokea afike bongo🥰
2026-09-28 15:40:33
3
precious momy💞🦋 :
nmemc aucho
2026-10-31 08:13:12
3
Pacha wa Alikiba 👑👑100%✓✓✓ :
Wazazi samahani tunawaomba Sisi kama madereva wa school bus tunawaomba juice 🥤 za watoto msiwe mnazidisha maji zinakuwa hazina ladha kabisa tunawaomba sana kwa hili mlizingatie bhuana ..🙏🤣🤣🙌🙌🏃🏃🏃🏃🙌🙌🙌