@tibelatk: Je, umejikuta uko nje ya ndoa na unahisi kila kitu kimeisha? Sikiliza hii: Hujachelewa! Kama ndoa ilivunjika—hata kama kosa lilikuwa lakwako mwenyewe—bado unayo nafasi kubwa sana mkononi mwako. Nafasi ya kuwafundisha watoto wako ili wasirudie makosa yale yale. Tabia au laana ya "kwetu hatudumu kwenye ndoa" inatakiwa kuishia kwako. Asipofanya mtu mmoja maamuzi ya kukata huu mzizi, utaendelea kutoka kwako kwenda kwa mwanao na hata kwa mjukuu. Tumia fursa hii kubadili historia ya familia yako! #JengaFamilia #UshauriWaNdoa #KataMzizi
kijuso sikia ujumbe huo[Tears of joy][Tears of joy]
ujumbe mzur sana,
2026-10-08 05:22:35
2
Juma Chande :
kweli mama wambie wajue
2026-10-21 18:57:13
1
ADAMSUFIAN :
yes dear good thanks
2026-11-16 19:18:45
0
furniture_Bora_2021 weka oda :
kunawatu hawata kueleeee ilaa ushauli toosha
2026-10-26 07:08:26
0
Busile :
uko vzur
2026-10-09 22:54:33
0
Mbuya Ferdinand :
Unaongea ukweli kabisa mama.
2026-09-26 09:09:11
0
MR k1 :
wata Fanya ajee sasa
2026-10-29 18:40:45
0
Nassor Monroe :
Mamake nakupenda mno jinsi unavyo elimisha umma🥰
2026-09-25 16:30:59
0
Imbayiimbayi :
Ushaasema.
2026-11-07 04:06:45
0
Medoh brown :
Ata mm nilikosana na Demu wangu akaenda kwa dadake..na dadake ako na watoto wawili kila mtoto ana babake na saii ni single mother..sa demu wangu ameenda kuomba ushauri kwa dadke sasa nangoja kama atarudi ama ndio hivyo🤣
2026-09-26 08:22:46
0
benjaminmuli52 :
ukweli
2026-09-26 03:42:45
0
THE SHUKAZ"4🙏🙏🇰🇪 :
kweli
2026-09-27 11:35:20
0
EZFABUSINESS :
asante sana mamangu
2026-11-06 04:13:28
0
jimmy :
2nakkubali mma😃
2026-10-20 06:13:33
0
David. m.m :
tell them dear
2026-09-25 13:55:23
0
samuel omuyundo :
yaaa
2026-09-26 05:24:43
0
user325015809840 :
very true
2026-10-23 12:54:12
0
yamaldin :
true
2026-09-25 19:36:54
0
ramad253 :
perfect
2026-09-25 14:11:52
0
agumba :
wambie
2026-09-25 15:55:07
0
more love :
jaman singo maz
2026-11-07 20:05:07
0
user3305845586208 :
ukweri muchungu
2026-09-25 17:52:22
0
sis :
uyu kijanWa kiume
2026-10-18 08:35:57
0
Mlume wa Neema🇸🇴🇸🇦🇰🇪🇪🇹 :
Yaaani doze 70x3...wape mamaaa
2026-09-26 01:17:27
0
baba yenu hap. :
hakuna dawa tam. wape dawa iwakolee.
2026-09-25 13:14:30
0
To see more videos from user @tibelatk, please go to the Tikwm
homepage.