@dr.mshamu: Hoho inaweza kuwa sehemu nzuri ya lishe kwa mtu mwenye changamoto za viungo na magoti. 🫑 Ina vitamini C na antioxidants, ambazo husaidia mwili katika ulinzi dhidi ya uharibifu wa seli na pia vitamini C inahitajika katika utengenezaji wa collagen, sehemu muhimu ya tishu zinazounganisha mwili. 👉 Unaweza kula hoho kwenye mboga, saladi au kuchanganya kwenye chakula. ⚠️ Hata hivyo, hoho si tiba ya moja kwa moja ya osteoarthritis au maumivu ya magoti; lishe bora ni sehemu moja tu ya usimamizi wa changamoto za viungo. Kwa ushauri zaidi: WhatsApp +255 763 765 123 #Viungo #Magoti #Osteoarthritis #AfyaYaViungo #LisheBora
asante kaka mimi nimetumia hayo mafuta maumivu yamwisha kabisa sasahivi niko vizuri nilikua nachechemea kutembea hata kuchuchumaa ilikua ni shida lakini baada yakunywa mafuta ya mkia wa kondoo nipo vizuri nimekua mpia
2026-09-27 08:34:52
0
user4003609214266 :
jambo nauliziya dawa ya maumivu ya mingi toka juu paka magotini
2026-09-26 07:36:59
0
nyika wilam :
nikusaidie socter katakata vipande chemsha ila huwezi kunywa mfululizo siku3 utahara sana ila ni dawa kweli
2026-09-27 18:17:20
1
scarlet fitch :
na mtu mwenye pressure hiyo mafuta haitanidhuru??
2026-09-27 07:40:40
1
Rosy Ndavuta :
imekataaa kupona sciatica nerve hey
2026-09-26 10:09:23
1
Adamsolomonmawira :
hata kama ni glass moja yote
2026-09-28 23:37:20
0
sijui :
hiyo mafuta kwa winging ukinwa utafaa kwa sababu nintibayoti
2026-09-28 20:55:46
0
swafaa29 :
Mimi nilikuwa kikombe cha Kwanza Tu cha Moto nilikiona nilitapika nikaharisha siku 3 hata sijarufiabtena kunywa
2026-09-28 21:42:15
0
Chuly Saidd :
nipo na mwaka wa 3 ssa napitia hio hali
2026-09-28 19:54:24
0
Yusuf OG :
yani nime kunywa mara ya kwanza mara yapili nahisi kutapika yani siwezi kwa kweli
2026-09-28 21:23:18
0
To see more videos from user @dr.mshamu, please go to the Tikwm
homepage.