😂 hawa jamaa hichi kisiwa kinawachanganya sana kiukweli, hakiwapi amani ata kidogo 😂
2026-09-27 11:25:24
33
madam Thuleitha :
km hamjatusem hamridhiki😅😅😅😅
2026-09-26 13:44:19
14
mwesusi :
tunabaki na ALLAH wetu
2026-09-26 17:10:19
36
Ally Ma-sms tz :
Yaani nimeamini watanzania bara hawawezi kutengeneza content hadi muataje wazanzibar ndugu hiii ni nchi moja sote ndugu haya mamb mengne hata haelekea sisi kwa sisi kutupiana maneno yasio ya msingi