mimi sipendwi na mama yang mzazi tangia nikiw mdg mpak sas
2026-09-27 14:44:15
42
Estella ❤️ :
true nina ushuhuda 😂
2026-09-27 18:00:14
0
@Baby mama.com :
mama anaubaguzi waz waz kiukwel nimechoka kujipendkeza nina miez3 simpigii anampigia mdogo wang ninaeish nae kila asubuh ila me hata haniulizii nyieeee😭😭😭😭 njoon mnifariji naogopa mimi staki wanang wayapitie haya ninayoyapitia nawapa haki sawa nikiwa xina nawambia namnunulia mdogo nawambia nawapend nyote
2026-09-28 09:27:54
10
Princess fionna :
Mama yangu hanipendi ninakaribia siku chache nifikishe mwaka hatuongei ila nasikia laana anazotamka juu yangu mungu anavadilisha kuwa baraka ananitia fitina mpaka kwa mume wangu dah