@abdurahmanijuman: TUSOMENI, TUSOMENI, MAPENZI BAADAYE TUSOMENI... Unawapa maks ngapi wanafunzi hawa... #Nasoma comments ✍🏽 #Nifollow @abdurahmanij4 #fyp #fypシ
Abdurahmani Jumanne
Region: TZ
Friday 25 September 2026 13:03:28 GMT
Music
Download
Comments
Nickolaussi Ngass🥰🥰🥰 :
hyo ya Katoro si muitag hapo so kusifiaaa tuu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-01 20:34:21
0
dan_Njugush3 :
this is pure talent
2026-10-02 00:01:18
0
nyanda bulaka.zz. :
umetish ndog
2026-10-02 18:59:34
0
Fonce@amore :
Vzr but kuna mtu alifanya hii remex katoro secondary mwaka 2015.. aliuwa mbaya
2026-09-25 16:08:47
123
❤️🔥kablo 47 @ KM❤️🔥 :
kilamsa hapo 2024 ☺️☺️☺️
2026-09-25 17:48:22
31
Kyamezile :
NIMEPENDA, FEROOZ IS AMBASSADOR NOW EVERYWHERE. HASA KATIKA SHULE.
2026-09-26 22:25:25
0
Mpakatika Junior :
shule gan hii
2026-09-25 13:16:32
26
kalikenya jr :
yaaan apo ALIYE tunga nyimbo utamjua tuu bila hata kuambiwa😄😄
2026-09-25 19:22:15
33
Mr.Kenny92 :
Nyumbani sijauwa Soph atanikuta kijijini
2026-09-25 19:34:31
17
Bad fac :
Utakuta katika ao wanaocheza dem Wangu yupo😅😅
2026-09-25 17:16:17
9
YUCHEN_45🇨🇳 :
nataka muwe wasanii wanguu
2026-09-25 18:02:21
6
Jensen Pop'z🤫💸 :
Alieimbaa kwa Ferooz Kauaaa🫡🫡
2026-09-25 15:55:41
7
0792766123 iano :
hii ndo talent sasa💪💪💪💪❤️💗
2026-09-26 22:52:12
5
Chief Amiani :
Real Talent 🙏🙏🙏 big up
2026-09-28 18:33:34
1
KIZZKID ACTOR :
nimependa Content Yako Kibwana kivutha😂😂
2026-09-29 10:57:32
3
JESSY :
wapelekwe studio,hiyo n hit Kali 🔥🔥🔥
2026-09-28 06:23:16
3
Uncle shedy Tz🇹🇿🇹🇿 :
mbona nyimbo inauzunisha Alf sielew kwann inaniuzunisha jmn
2026-09-26 04:20:56
9
Gaspery Godfrey :
kiukwel asante mmefanya kitu kikubwa
2026-09-28 05:32:45
5
FRANK WA KWA MKELEKA :
msanii kwa upande wangu 100%
2026-09-25 15:51:39
9
mbalaka nyange :
akuna kaz kaka
2026-09-25 20:05:57
1
Happy silem :
umeweza kaka sana
2026-09-28 18:57:25
3
Ali hassan :
hapo kaka umeuwa show yan noma
2026-09-28 18:09:05
1
💥 MTAFUTAJI CASTO 🤩 :
hii sio yakupita like ziwe nyingi
2026-09-27 16:36:09
4
the geaon. :
wote wametisha🔥🔥🔥🔥☠️
2026-09-25 19:27:51
3
paschal bipi :
mumetisha sana
2026-09-25 20:19:22
2
To see more videos from user @abdurahmanijuman, please go to the Tikwm
homepage.