@ustadhzayd: Majibu Ya Ustadh Zayd Ibrahim Kwa Wapinzani Wake [ 2 ] Video Kamili Ipo YouTube Tayari #UstadhZaydIbrahim #UkweliKwaUwazi #UamshoKwaUmmah

USTADH ZAYD IBRAHIM
USTADH ZAYD IBRAHIM
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 13:21:09 GMT
11725
642
110
6

Music

Download

Comments

youngsayeed
Y҉o҉u҉n҉g҉ ҉S҉a҉y҉e҉e҉d҉ 🔷 :
ME NITAKUUA KWA MAANDIKO [Tears of joy]
2026-09-26 01:07:59
13
hunter31480
Hunter3148 :
nijibu swali ww muislamu au mkristo
2026-09-25 16:10:09
1
user7422052283874rashid
rashraider mjukuu wa kenya :
wanafanya debate mother is better than father
2026-09-25 17:25:29
1
kwangu.mashamba
Kwangu Mashamba :
😀😀😀😀😀😀nilikua nasubir majibu yako ustadh asantee maan
2026-09-25 13:26:58
5
user7594499012999
Rex de whizzy :
wee endelea kuchambaa umbea moto unakusubirii shehe
2026-09-25 22:00:44
2
youngibra07
MR. VISINIA ZANZIBAR :
bas omba mdahalo wa kielem ili umuelimishe kama unaona anakosea mualike kwenye live yako alafu muelimishe kwa hoja
2026-09-25 18:06:47
5
user52442524826665
Tapha the don :
kwan w din gan ndugu yet
2026-09-26 02:54:19
0
alhajikipingu286
Alhaji Kipingu :
wewe kweri mchungaji
2026-09-25 15:28:17
5
nassirabdallah68
Mr T9 :
Maneno matupu toa hadithi na Aya za qur an toa vitu kwa ushahidi syo maneno matupu
2026-09-25 14:27:00
2
oficialvidyvisy
🎼 Vidy Visy 🍎 :
ukitaka kujua tabia za kiislamu we angalia comments tu utajua ,
2026-09-26 08:40:42
1
jesushussle
digala :
huyu shekhe yuko sahii kabisaa .dini ya kweli ni upendo asee
2026-09-25 20:30:03
1
ctanleymichael
God's plan..🙏 :
🙌 respect
2026-09-25 14:01:04
0
ally_shabani
ALLY :
mchungaji utafel siku sio nyingi😂😂
2026-09-25 20:31:33
4
rajabu.mrutu
rajabu mrutu :
KAZI inayoifanya lazima iwe na mitihani wasi kuvunjw moyo ALLAH AKUPE SUBRA NA NGUVU KWENYE HAYA
2026-09-25 16:49:38
4
balmwifiman
Balmwifiman :
Bro mbona hatuoni hoja zako? Haya basi tupe mazuri ambayo wayajua katika Uislamu ili tujue uko tofauti
2026-09-25 17:14:08
0
said213915
said :
Wew kwer mchungaj
2026-09-25 16:37:25
2
user86712607995625
kidege mute :
ILA WE DOGO UNA AKILI SANA! UKWELI NAAMINI UTAFIKA MBALI SANA
2026-09-25 20:04:56
2
darleen.saidy2
Darleen Saidy :
mimi Nina swali Moja kwako nataka kujua kipindi yesu yupo tumboni kwa mama yake Maryam je Maryam akuwa anamuabudu mungu gani wakati mungu amembeba tumboni mwake
2026-09-26 07:38:30
1
hamisy55
hamisy :
mdogo wangu unaongea kwa hekima sana, hapo ndio unapowamaliza!! endelea hivo hivo.
2026-09-26 07:34:30
1
mgalatiaemmanuel
mgalatia Emmanuel :
kumbe unamsikiaga Asante kaka
2026-09-25 18:46:29
2
petermushi23
mushi :
Kweli mkuu
2026-09-25 16:50:04
1
abdiyahyayahya1
Abdiyahya Yahya :
Omba mdahaloooooo
2026-09-25 18:16:15
1
esmael_jm1
Munene👳🏻‍♂️ :
mimi bado najifunza vitu kutoka kwenu na naona Kila mtu yuko sahihi Kwa upande wake, acheni kubishana, uislamu ni kueleweshana mashekhe ili tunaojifunza tupate kilichobora
2026-09-26 08:24:39
0
malikimiraji
NGODA@@ :
vp ww
2026-09-26 12:46:13
0
abdulucky845
Abdu Lucky :
ww siombe kikao nashekh sule ama shafii ili uwafunze tuanze kukusapot ili tujue unaelimu kuwazidi
2026-09-26 09:22:29
0
To see more videos from user @ustadhzayd, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About