@ba.hassan404: #MCHUNGUZEMTOTOWAKONATABIAHIZI

Ba Hassan
Ba Hassan
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 13:31:34 GMT
93831
2796
96
483

Music

Download

Comments

makeba7136
makeba :
Yan huyo ni wangu kabisa dalil zote zmo
2026-09-25 17:32:17
2
user5174823388198
user5174823388198 :
[Heartwarming][Heartwarming]tnx uncle ubarikiwe
2026-09-25 19:42:20
1
salinepamba
pamba :
thanks
2026-09-25 20:56:23
1
sumyanach
user8500980267651sumiya nach :
yan huyu ni dada wangu wa kazi tabia zote anazo jmn
2026-09-25 17:18:32
7
mammy1328
BOSS MAMA :
ikiwa mtoto haongei naomba dawa
2026-09-25 17:39:44
3
azizamakame.abass
aziza :
ni mtt Wang mn nilimzaa kwashida ila heee yan yup km mwanaum hasikii mpk naogop
2026-09-25 21:06:34
2
bruncebb
Mr. B B :
Doctor umesahau sukari apo kwenye vyanzo na ndo chanzo kikubwa sana iko💯
2026-09-26 03:55:18
2
salamash8
selme :
huyu ndio mwanangu wa kwanza MTUNDU Bora wadogo wake wanapangilia mambo kuliko yy ila sio muongeaji
2026-09-25 13:44:46
6
user8232060248229
kade :
mjukuu wangu anakojoa kitandani ana miaka 15, nifanyeje?!
2026-09-25 21:59:00
1
ashamgonde
ashamgonde :
je tatizo hili linaanza kujionyesha kuanzia umri gani mtaalam?🙏
2026-09-25 19:35:56
1
user7375550916716
Haytham Ibrahim :
Asante sana mwalimu kwa elimu hii mungu akubarik
2026-09-25 16:46:06
7
quuencather
quuencather :
Dr mwanangu toka afanyiwe operation anajikojolea ni miaka mitano sasa anahali hiyo msaada pls yeye anamiaka 10 sasa
2026-09-26 01:31:48
1
user420876197221
[email protected] :
mume wangu ana tabia hizi, hata nikimuomba ela anasahau kunipa nifanyeje mwl.🧐🧐
2026-09-25 20:43:51
5
user1237639259530
cute_ biluu🤗 :
Asante kwa kutufahamisha yani huyonimwangu mm wakwanaza
2026-09-25 17:20:50
1
rebeccasamuel59
It,s Rebby :
uwiiii mm wangu kabsa nifanyeje mm mpk tuition nimemstopisha shulen haandiki ukimpa kikaz kidogo tu uwiiii mpka naumia uwiiiii😭 akirud nyumbn kachafuka vibaya saaana miaka 9
2026-09-25 18:35:08
1
salome.james92
c6 p"🥰😘 :
asante kpnz
2026-09-25 19:40:48
1
user6078247367250
husein :
naomba namba
2026-09-25 18:02:58
2
user6128256956823
Grecious bupe :
mwanangu mtupu
2026-09-25 21:30:37
1
babyange94
Sweet Angel 😇 :
Sana thank you
2026-09-25 21:45:15
1
mohd.chile
moh'd chile :
wangu hamalizi kazi skuli lakin anafahamu sana mtulivu msikivu shida kuandika kazi za skuli tu ndo shida ananza hading lakini hamalizi
2026-09-25 19:40:38
1
muhbasfat
BAMAHRIZ GOODIES :
na Mimi Kwa mfano niseme naanza kufagia nimefika katikati nimewacha fagio nikaenda kuosha vyombo baadae nakumbuka sijamaliza kufagia nawacha vyombo naendelea kufagia mara nishawacha hapo naenda kufua mara nishawacha naenda kupika je, hii pia ni hiyo ADHD?
2026-09-25 19:08:05
3
ummytailor1
samy :
that was me kabisaaa nilipokua mdogo
2026-09-25 18:05:42
2
dalucie017
Lucie🖤💖😘💫 :
huyu sasa ni mtoto wangu daaah 🥹🥹😭😭
2026-09-25 20:29:06
2
rujjaina73
Rujjaina :
mwanangu mie uyo
2026-09-25 19:31:20
1
user8208799336154
user8208799336154 :
mwanangu kbc
2026-09-25 19:03:05
1
To see more videos from user @ba.hassan404, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About