@oscar_mkatoliki: TOFAUTIU YA BIBLIA YA KIKATOLIKI NA KIPROTESTANT Mpendwa katika Kristo ndoto yangu ni kuwatengenezea maudhui yenye ubora mkubwa zaidi ili yafikishe ujumbe Kwa wengi na kwa namna sahihi zaidi; Kama unatamani kuwa sehemu ya utume huu wa uinjilishaji kwa lugha ya Kiswahili, unaweza kuniunga mkono kupitia: +255 750 327 323 Jina: OSCALIUS ELMES NIHONGATAILE. Kama ukishindwa kuchagia basi sala zako na matashi yako mema ni muhimu sana ili kuhakikisha utume huu unasonga Mbele. Mungu akubariki sanaa. #Oscar_Mkatoliki #CatholicTok #Watakatifu #KanisaKatoliki #fyp #OscarMkatoliki #NeemaYaMungu #NenoLaMungu #YesuKristo #EkaristiTakatifu #kanisakatoliki
ethiopia bible ina vitabu 88 hii ndo origin bible,, kuna vitabu vya jubilee, book of giant, book of enock
2026-09-25 19:29:15
6
Farmer :
nearly no one mentions that protestants removed 7 books from the bible in the 1800s.
2026-09-26 14:34:58
0
Njolori Chonza :
who are Jesuits
2026-09-27 10:45:44
0
꧁༒☬𝐆𝐌𝐎𝐍𝐋𝐈𝐈𝐆𝐇⁶⁹☬༒꧂ :
hivo vitabu vilitolewa kwenye biblia kwa sababu ni vitabu ambavyo vinapingana na mafundisho mengine ya kibiblia, moja ya mfano wa vitabu hivyo ni "the book of enoch" lkn pia Virginia vinaongelea sana kuhusu maadili na mawazo ya waandishi na sio injili ya yesu kristo wala wokovu. mfn" kitabu cha Hekima ya Suleimani"
2026-09-26 09:22:21
2
ZFDC TV :
vitabu vyote hivyo sio vya Yes, ni vya watu. ndio maana vikatafautiana. kitabu cha Yesu ni Injili sio biblia
2026-09-25 16:21:01
0
magesa siro :
ya kikatoliki maneni ni yaleyale ila kikatoliki Kuna maneno yamegeuzwa yanayoona yanawakosoa. kimatendo
2026-09-25 18:24:04
2
salum robert :
swali nakuuliza kanisa catholic lilianza mwaka gani?
2026-09-25 17:02:27
0
kaso's :
kwetu Ethiopia bible ina vitabu 81 asee original kikiwemo na kitab cha henock
2026-09-25 15:46:22
0
MrSWOT :
Kwa nn Protestant walipunguza vtabu??! toa jibu
2026-09-26 10:22:04
0
Rostock :
Biblia original ya kiprotestant ( Anglican (KJV) na Lutheran (Luther German Bible) ina vitabu 73 ( deterekanoni ikiwemo)
Biblia ya vitabu 66 ilikuja kwenye karne ya 19 baada ya Scottish Bible Society kupunguza vitabu
2026-09-25 14:50:43
2
Fransika Lwambiko :
Asante
2026-09-25 14:24:43
0
mr.satoshi :
mtaalamu umetoa ufafanuz mzur sana ,lakn the main reason kutolewa vile 7 ...nakuomba ufundishe vile saba kimoja kimoja kinafundisha nn ...ndugu mwalimu
2026-09-26 13:42:56
0
Chris Mushi :
mwenyewe natamani kuiandika biblia upya
2026-09-26 15:28:13
0
user4710656237591 :
Biblia asili ni Ethiopian Bible ambayo ina vitabu 88
2026-09-26 15:20:01
0
Ino :
je mbona husemi tofaut ya vitabu vilivopo kat ya otodox na roma
2026-09-25 20:23:49
1
geophreygodfrey :
Bado najiuliza kuhusu kitabu Cha Henoki, kwa nini hakifundishwi au kusomwa?
2026-09-25 19:19:12
1
Gavam_1237 :
Kaka naomba unisaidie maana nashindwa kuwajibu watu hapa juu ya sura ya yesu aliye igiza filamu ya Yesu na kwanini tunaitumia sura hiyo hiyo kwenye misaraba au picha ingali tunajua sio sura harisi ya Yesu kwani hii sio kumkosea Mungu
2026-09-26 23:55:45
0
Sisto msogoya :
kwani hakuna softcopy ya biblia ya kikatoliki ya vitabu 73??
2026-09-25 18:10:03
1
pierre :
NENO “ KITABU BIBLIA , NI KITABU CHA WAKATOLIKI
2026-09-26 03:40:33
0
Robert macheho :
alifundisha nani hayo katika kristo
2026-09-26 03:39:49
0
Hachmmakshir :
Oscar tusaidie kuhusu kitabu cha henoko
2026-09-26 06:26:52
0
XYZ :
Joshua Bin Sira kinafaa kwa ajili ya vijana wa sasa
2026-09-26 17:06:56
0
kbihoro :
osca naomba namba yako
2026-09-26 06:20:33
0
Best memes Reposted :
Hata Romans walitoa kitabu cha Enoch. so hamna wa kumtolea macho mwenzake
2026-09-26 07:33:59
0
Rhyz_🇰🇪 :
we continue learning. shukran
2026-09-25 13:46:35
0
To see more videos from user @oscar_mkatoliki, please go to the Tikwm
homepage.