Yani apo camera man inabidi auze vifaa anunue iyoo video 🤣🤣
2026-09-25 16:42:06
9
rose 🌹 :
hiyo ilinikuta mim kweny sendof yang kuanzia salon njian matarumbet yanapulizw naingia ukumbin hawajachukua kipande kinaanzia nipo pale mbel namuuliz mbon kuna kipand sivion anasem vilikata sisahau nimebak na albam tu
2026-09-25 20:07:38
9
juliethjovit :
😅😂😂😂 nani atajua kua mlifunga ndoa🤣🤣
2026-09-25 14:24:18
7
Naomi Mboma og :
usijali ila ukileta video ndo utalipwa
2026-09-25 14:00:13
6
King_J :
ngoja nikae kimya tu😁😁
2026-09-25 13:39:54
4
phone❤️🔥 :
😂😂😂😂😂😂. atanihadisia mwanzo mwisho
2026-09-26 07:54:44
2
detha_cute100 :
imagine anapiga picha alafu kumbe hakuwa. amezisave imagine
2026-09-25 16:40:45
5
Rukia Said :
hahahah 😂😂😂 pole kak ndo maisha japo kua nashindwa kuelewa
2026-09-25 23:20:27
2
Kiisha Eye Care :
Tuchangishe watu Upya Tukio likarudiwe
2026-09-26 03:09:19
1
queen of heart❤ 💞🦋 :
what 😳
2026-09-25 19:53:24
2
Imelda Musungu :
🤣🤣😂😂😂ni uchunguu sanaa mosiria proverb
2026-09-25 17:07:40
4
MuuEnosh💞 :
Nahis nitazimia tu kwakwel nitakua sina jins 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-25 20:01:31
1
MC drill_ ifluenca :
Ataniadisia mwanzo mpaka mwisho wa harusi
2026-09-25 19:20:36
2
Francis media :
hahahaha
2026-09-25 20:14:12
1
Queen Ever :
me kwakweli harusi itarudiwa🤣🤣
2026-09-26 07:51:01
1
lonely¿ :
ilinikutaga kwenye fainal ya kombe la Dunia
2026-09-25 15:47:16
2
Faith Marianne :
kwani recording ndio imefunga harusi ama picha ,no ni Mimi hapa home twende maisha ianze