@dukahuru:

Dukahuru
Dukahuru
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 13:33:58 GMT
144699
7368
318
687

Music

Download

Comments

quinlan011
Stacey😍🤍 :
Sawa lkn kwnanini video yako inakuja ijumaa jioni😂🙌
2026-09-25 15:23:14
236
tock.y
tock . y🦋 :
na pia ukiwa huogopi kukosa huwa hukosi
2026-09-25 14:54:47
142
chimbo_la_vipodozi_kkoo
chimbo_la_vipodozi_kkoo :
Kwel aisee[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-26 15:49:04
0
fettyjaffary1
Fettyjaffary1👣 :
Mimi nikitumia hela ndo napata hela
2026-09-25 14:51:06
193
mankadimpoz.shayo
Manka-dimpoz Shayo :
Asante
2026-09-26 13:52:43
0
user8134617342449
wanyamaclaxic🇹🇿🎌🏴‍☠️❤️❤️ :
weeacha 2
2026-09-26 13:05:08
0
ml_urembo
🎀momo🎀🪄 :
sasa jaman tuelewe vp🤣🤣🤣🤣 mara tusave mara tutumie mnatuchanganya banaaaaaa aaaahhh
2026-09-25 14:18:32
37
user7518258567826
qurwsd wsd wsd :
ngoja kwanza nibaki kusikiliza MAHANA📌📌📌
2026-09-25 14:00:24
12
graycer38
✨Cee_glow🧸🎀 :
Ngoja nikanunue wigi alafu itakuja nyingine😂😂
2026-09-26 03:05:13
9
queenjohn2856
Queen John :
Thanks for sharing brother 🙏
2026-09-26 07:59:29
0
jacklinemtalo266
Jackline Mtalo :
hata ukiwa na elfu 10 unasema n akiba hupati mpaka utumie😂😂😂
2026-09-25 17:57:54
14
ami_tz
AMI_TZ :
MIMI HATA NIKISEMA HII 20K NI AKIBA BASI SIPATI NYINGINE HADI NIITUMIE😂😂😂😂
2026-09-25 19:47:19
16
lovenessmunishi
Love ❤️🥱❤️‍🔥 :
Nawaambiaga watu wananiona mwehu 😒
2026-09-25 18:27:56
2
hellenoffici
hellen :
exactly 💯
2026-09-26 08:45:22
0
martha_mwaipopo
Martha :
nilibakiwa na elf 20 hapa, wacha niamke sasa☺
2026-09-25 14:29:46
6
gusaachia3
GUSA ACHIA TWENDE KWAO :
Huu ni UONGO bhana.. Mimi nikitunza pesa ndivyo ninavyopata pesa zaidi, yaani nakuwa na hasira sana ya kuongezeka.
2026-09-25 19:09:29
4
lom_lighter
lom lighter :
ukitumia hela ikaisha ndo unapata akili mpya ya kupata hela, ukiwa umetunza hela, unakua huna mood ya kutafuta hela kwasababu unajua hela ipo ndani tu
2026-09-25 18:52:07
6
zuriluxe_homedecor
Zuriluxe_homedecor :
Very true
2026-09-25 14:34:34
1
brightyuvenaly
Baby B :
niliwahi kuwa na lak9 sijui cha kuifanyia yenyew ikaniambia ngoja tukupe matumiz imeisha piu imebaki lak1[Tears of joy]
2026-09-25 19:58:35
5
tina.nafaka3
Tina nafaka ❤️ :
Kula maisha kula maisha kula maisha
2026-09-25 19:22:36
1
proof.b1
@proof b :
yaan sio kuongezeka tu na matatizo yanatokea kibao
2026-09-26 17:01:53
1
hdmafish1
HD Mafish :
na m5 ngoja nikanunue korosho bn😁
2026-09-26 08:58:10
0
juma_fredrick
Northern_Programmer01 :
Aise minikitumia hela napata hela mazeee 😂 Nashukuru MUNGU SANA
2026-09-25 18:48:48
0
juliusmaeda
MAEDA METAL WORKS :
niliweka lak mbil ndan mwaka flan tuliumwa wote, kumbe inataka iondoke😁
2026-09-25 18:44:21
4
harinajoel4
Harina ❤️ :
Mimi nakula t jamani 😂…swala la saving nimeshindwa
2026-09-25 14:57:34
2
To see more videos from user @dukahuru, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About