@team.yanga: VERY SAD 😥 #🇹🇿 #TANZANIA

TEAM YANGA🔰💚💛
TEAM YANGA🔰💚💛
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 13:43:50 GMT
62429
2040
131
20

Music

Download

Comments

lauriani.shabo
Lauriani Shabo :
acha2 nisubili talehe 10 nitabe na libase simba guvu mojooo
2026-09-25 14:35:44
16
kichaa.wa.yanga
KICHAA WA YANGA :
one day yes💪
2026-09-25 14:54:27
0
ramadtozzygmail.com0
Lamine yamal10 :
wamefungwa yanga na azam sisi simba hpn 🤣🤣
2026-09-25 16:37:49
2
kivanziboy
kivanzijosphaty :
kwan foba wa nini Aishi si yupo
2026-09-25 14:49:55
1
user4918844305211
ETUS@ :
mmi sio taifa Star Mimi ni yanga Kbsaaaa tofauti ni kubwa sna hpo
2026-09-25 14:20:27
2
moniccalucas102
Monicca :
Inauma jamn
2026-09-25 17:13:25
0
rocky.mbwana
Rocky Mbwana :
Nahis mabeki walijua wana cheza na Singida
2026-09-25 18:49:09
0
user1076081981722
James kulavumbi :
najuta kujaa Jezii Leo nahiki kichapo🥲🥲🥲
2026-09-25 15:43:37
0
shadidihussen
DJ SHADY :
wachezaji hua hawataki kucheza kwenye timu ya taifa
2026-09-25 14:39:50
3
frank.batom
NIDHAMU YA MAISHA :
wachezaji hawataki kuchezea timu ya taifa wanasema hawapatagi hata mia ndio kipengele kinaanzia hapo
2026-09-25 15:02:18
1
jasonwilliam947
jasonwilliamusalimu :
Alafu ndo wanajiita taifa star
2026-09-25 14:52:59
2
aisha.juma.juma4
AISHA JUMA JUMA :
Kwan taifa nila yanga peke yao kwenye mecha ya taifa hakuna Cha Simba Wala azamu Wala yanga wote wagen wametukataa
2026-09-25 15:23:20
2
revina.george2
Revina George :
tanzanian team amna
2026-09-25 14:49:19
1
elidiusmshobozi1
elidiusmshobozi :
yan hiii timu dah bas tu
2026-09-25 14:42:50
1
tenzablon
0752926253 :
mlikua ugenini au nyumban
2026-09-25 15:15:41
1
user4466609694786
peterboy jr :
wachezaji walishinda wanajirekodi wanatuma vidio wakiwa wanacheza miziki mchana mzma wa leo hapa bongo kwa wachezaji hawa hamna timu kiukweli
2026-09-25 15:04:53
1
shazilnamkoko
zil one tz :
Feisali hajitumi kama anavyocheza azzm akikutana na yanga..
2026-09-25 16:50:02
1
user5668715977974
user5668715977974 :
wanacheza vibaya fungu lakukosa nn hawa tumii nafas wanazopata
2026-09-25 14:38:29
2
user42230167410423
bariki Joseph :
Tanzania tunatia aibu kiufup maan wachezaj hawajitum lakn pia vijana wenye vipaj wanaowez kulikomboa taifa connection hawana kiukwel inasikitisha
2026-09-25 15:56:23
1
charles.daniel908
Charles Daniel :
ndo maana mim siwez kupoteza mda wangu ety naangalia taifa staz
2026-09-25 14:32:13
1
moghaka8
moghaka :
Tanzania kwenye michezo sisi niwamwisho kila mchezo
2026-09-25 14:04:14
1
ngaokwayu
Ngao Kwayu :
Bola sana nime FULAYI Sana tulivyo fungwa
2026-09-25 15:18:44
1
muumin864
muuminilyakona :
kosa wapi mijitu inakosa magori inataka ipewe nini
2026-09-25 16:12:10
0
witnesslyimo29
witnesslyimo29 :
xx tim inawachezaj weng wa tim moja xx iyo ni timu ya aina gan acha wafungw
2026-09-25 19:40:04
0
simonalico
simonalico :
yanga ndo kafungwa sio taifa stars
2026-09-25 18:56:03
0
To see more videos from user @team.yanga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About