🤣🤣🤣 Ila eti ni mimi jamani mnaniona anyways poleni sana aisee🥹🥹
2026-10-11 08:54:27
0
ummur sameer collection 🦋 :
likitoka wap
2026-10-11 09:38:27
0
Makoye :
Mwisho wa mwaka huu matajiri wanatoa kafara kuweni na Amani aiseeee😁😁😂
2026-10-11 10:01:20
41
saleh sharif attas :
haiwezekani moto uwake kwa speed hivyo
2026-10-11 11:12:23
9
Anger Jackson :
mbona ajali zote ni moto to saiv
2026-10-11 09:53:18
18
Lizzy one mjd5💫🦋🦋 :
Jmn mbn magari saiv yanawaka2 moto daaah mungu aepushe jmn
2026-10-10 21:03:15
36
P2 :
poleni
2026-10-11 11:43:19
0
Giveness flaison :
Bola kama mmepona wotee
2026-10-11 08:58:39
30
~🎀 Lee🦋 :
yaani unahurumia mabegi badala ushukuru mungu mmetoka salama ila binadam sisi Tuna shida sana 😳😳
2026-10-11 09:09:49
12
chiku🥰💞 :
mbona umetaka kucheka sasa😂😂😂🤣🤣🤣🤣
2026-10-11 04:56:21
10
Euny🖤 :
mm ndio nasafari siku hivi karbuni had natetemeka😳
2026-10-11 08:48:20
7
khasmud :
hali ya tabia ya nchi jotokali mashine zinahiti dereva ushauri wabure kubali kutembea na usafiri mwendo wapole kuepusha jotokali kwenye injini na pia kupumzisha gari hatakama abiria wana chelewe kiusalama zaidi
2026-10-11 09:11:48
8
Malka :
mme pona wote
2026-10-11 10:14:27
2
Editha James :
wamegoma kutoa kafara wakuu wameamua kupita na magari wakuu nawaomba piteni na magari yenu roho zetu mtuachie
2026-10-11 08:14:48
5
Aisha hassani :
unawaz Mabeg kaka akat unatakiwa ushikur mung umetoka salama mabeg yananumuliwa tu kaka poleni sana
2026-10-10 21:46:30
5
TURUBA. co.tz :
hamna kitu hii ni AI
2026-10-11 02:35:40
2
karungimuganyizi :
Mbona naanza kuogopa jaman na Mwezi ujao nasafiri
2026-10-11 12:35:40
1
dada dicki 😜👄 :
kuna mimi ambae nashafir mwez wa 12 adi naogopa yan ila mwisho wa mwaka mmmh
2026-10-11 09:17:57
1
Ms careen🎀༘ :
Kumbe ndo maana wale wa Green line walishindwa kutoka 😳😪😪😪😭
2026-10-11 09:04:50
0
phina :
wapi apo piah watu mmepona
2026-10-11 07:22:45
1
ASHDACHA TZ :
hii ni lini tena jamani na niwapi mbona hivo lakini
2026-10-11 04:36:29
3
To see more videos from user @paulokulwashage42, please go to the Tikwm
homepage.