@nyandamasibuka7: Furaha ya wazazi nikuona mtoto anatembea#tanzaniantiktok🇹🇿 #congo #canada

Dr masibuka
Dr masibuka
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 13:46:08 GMT
31487
831
109
30

Music

Download

Comments

kaleshkalesh755
Eunice Kitheka :
8 months
2026-10-13 11:01:04
0
liobabygod
🌹Lio✨️ :
Wangu anarudi nyuma
2026-10-12 17:02:52
6
lydiah_karimi
lydiahkarimi :
8month na hajatambaa bado
2026-10-12 02:37:00
8
hekimangowa6
Hekima Ngowa :
woiii, msijipe presha wala, mda ukifika atatambaa. ukifatilia sana vya mtandaoni utachanganyikiwa bure na kuona mwanao ana shida kumbe wala hata
2026-10-12 09:25:49
5
moshisallum
Moshi Sallum :
miez7 alafu ata hawaz wLa hajali
2026-10-12 19:51:41
4
ezilabethjonson
Ezilabeth Jonson :
wangu ana 7 mwendo na kam huo, lkn anasimamia vitu
2026-10-12 05:45:36
3
daswaumkipipa
Swaumu kibonge :
wsngu ana miezi 6 ana simama dede ataki kutambaa
2026-10-13 05:44:46
1
mantazuuhthuma1
mamta zuuh thuma🥰🥰 :
wngu ako na 7 na ameanza kutamba
2026-10-13 08:33:29
0
prettyazmina1
prettyazmina1 :
miezi 7 tunatambaa nyumba nzima saivi tunasimamia na kutembea tukiwa tumeshika
2026-10-13 11:34:06
1
k_shuu7
Nana mziwanda :
dah mwanangu ana miezi 7 ila bado nifanye nin
2026-10-10 11:54:26
0
btryb1
BTryB :
mm nachanganyikiwaa ana 7 sasa
2026-10-09 10:55:03
1
user76283554281722
76283554281728 vasthi :
mwanangu ana mwizi 10 lakini haja tambaa
2026-10-11 17:31:09
0
user90619119374403
Hoffen Petrus :
wala msichanganyikiwe mda ukifika anatambaa wakwangu ametambaa akiwa na miezi9na nusu
2026-10-12 08:46:19
0
sylvia.assenga
sylvia Assenga :
Ana miezi bado hajatambaa
2026-10-06 18:08:04
1
aminamsafiri30
Amina msafiri :
miez 11 bad hajatambaa
2026-10-12 16:12:52
1
baby.joy7890
baby joy💞 :
ana miezi tisa lakini bado
2026-10-12 13:42:25
1
user6769806900987
mercyathianji :
miez tano
2026-10-12 13:18:55
1
ukhty_ruwayda_epinu
Ukhty Ruwayda Epinu :
ana miezi minne
2026-10-12 07:26:32
1
dmylee2
dmylee🥰🥰 :
miez 5 kasoro siku 7 atimize 6 kml
2026-10-12 18:33:05
1
2000chuky
ch🥰🥰 :
7
2026-10-13 19:08:42
0
neemakimario4718
Neema Kimario💕 :
miez6
2026-10-13 15:29:36
0
neemamwasimuke0
user12830105907110 :
wangu 9
2026-10-13 15:21:31
0
tatu.athumani45
Tatu Athumani :
wangu ana miezi 4 lkn anaambalia mgongo jaman yn kinyumenyume
2026-10-13 15:14:09
0
user6867529127971
user6867529127971 :
miez 6
2026-10-13 14:23:10
0
peggylicious98
peggy :
Wangu yupo 7 months hajatambaa saiz anasiamama
2026-10-13 19:23:20
0
To see more videos from user @nyandamasibuka7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About