@laptopsafrica:

laptopsafrica
laptopsafrica
Open In TikTok:
Region: SG
Friday 25 September 2026 14:10:53 GMT
373422
17029
781
868

Music

Download

Comments

ngehura.hussein
NGEHURA HUSSEIN :
nauli bei gan
2026-09-25 20:21:37
55
lucascharlzy
★★★BO$$ MtØtØ★★★ :
yaan cku naenda Zanzibar nikaingia choon ile nalud kwenye sit tumefika😂😂😂😂😂
2026-09-26 06:34:49
353
tesha.boy76
Tesha boy :
Hapa mtu wa kamera alikua wapi?
2026-09-26 10:37:31
104
zainabu292
zainabu292 :
kama hujawahi kupanda ndege lazima uulize camera man alikuwa wapi😂
2026-09-26 10:51:34
41
breezynolly
B R E E Z Y 🐆 :
SIJAWAHI PANDA NDEGE TANGU NIZALIWE 🥹
2026-09-29 18:30:59
14
doricedastani25
Dorice Dastani :
Bora nipande bot pesa yangu iende kihalali
2026-09-26 06:53:04
19
alex14337
Alex :
Leo na mm nmeshuhudia safar za watu
2026-09-26 08:02:45
49
user6713065678023
DICKSON ENIVAS :
kwa mara yakwanza na mimi naona safari ya ndege ahsante Mungu kwa hiki kidogo
2026-09-28 20:42:07
8
dj.baraka4
dj baraka sukari yao :
mmepaona ninapokaa
2026-09-26 18:55:37
6
gasper_tyme_studios
GASPER TYME STUDIOS MBEYA :
Imechelewa sana kaka dk 8 tu landing
2026-09-26 05:15:50
6
jeyloo72
𝙅𝙚𝙮𝙡𝙤𝙤 𝙒𝙞𝙨𝙝 :
Nani mwingne anatumia Wi Fi ya Kituo cha Police ama ni mimi peke angu 🤣🤣
2026-09-27 15:41:22
11
gastonpeter347
HAKIKA YA SAUTI :
Ni drone ya aina gani hyo inachukua video 🫩
2026-09-26 07:23:25
9
ramson2812
Ramson :
hii mbona ilichelewa sisi tulitumia dk nane
2026-09-25 18:43:58
13
ashirina14
🦋Ashirina Capricorn ♑️ :
Dk 14 nyingi sana dk 10 tu
2026-09-26 10:32:23
6
eli.fred1
Elifred --GAIRO :
kulikuwa hamna foleni ndy maana
2026-09-26 11:59:58
6
user56518003927743
kanelelamike :
duuuuh,, hatari, kabla kikombe cha chai hakijaisha umeshafika!
2026-09-25 19:01:57
13
spainboy53
spain boy :
dakik 14 ndo nitoe laki ngp haa
2026-09-26 07:41:00
8
homeboy6217
homeboy :
camera man yupo wapi wakuu🤣🤣🤣
2026-09-27 19:55:56
6
katemi.mihayo
Katemi Mihayo :
ivi huwa shi ngapi
2026-09-26 09:07:15
15
aniceth.w.selfu
Aniceth W.selfu :
jamani naomba kuuliza ukitoka zanzibar unaenda nchi gani?
2026-09-26 12:17:26
5
michaell.._7
Michael :
kaka ndege gani iyo inatumia dk 14 dar to Zanzibar😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-25 19:13:16
8
gpanchtz
gpanchtz :
kwani hii video hizo dakika 14 zimefika?
2026-09-27 17:52:10
2
isaac.ashely
Isack Ashel :
Mimi nauliza je ukitaka kwenda Zanzibar kutoka dar tiketi unaikataje au unafika air Port?
2026-09-27 15:21:10
2
ndemule
Derick official :
Dah..!! Ilinifanya Niskie Kama Najitoa Kafara Kwa Mala Ya Kwanza 😄
2026-10-10 12:13:20
1
isackjackson05
Mr isack 🇹🇿 :
mbona kama imeganda
2026-09-26 12:19:47
1
To see more videos from user @laptopsafrica, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About