stop cry dear ur stongt girl dear friend be happy every dear
2026-09-29 12:01:04
0
Ester :
saivi bora ukutane na mdada anaetumia filter kuliko AI
2026-09-25 17:13:50
323
🌹 🌺 🍓 :
mimi ni kila nikijaribu sura yangu inakataa kulia
2026-09-25 19:36:01
102
Asia Mathias :
au n kwa wenye iphone tu mbona kwangu imekataa😂😂
2026-09-25 16:31:04
82
Dr Jackson :
Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mwenye nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman
2026-09-26 12:42:24
28
BARAKA REVOLA HARDWARE :
Sasa unaacha gari unaenda wap mwenetu
2026-09-26 07:36:50
20
mom d :
mbona mm nikiserch haikubali?
2026-09-25 17:20:18
7
E M :
we ni mrembo Sana zingatia uzuri WA Mungu na Kazi uko Leo tumemiss kiburu ..
2026-09-25 15:23:37
14
Baddest🍓 :
Umeacha gari 🤣
2026-09-26 14:57:43
1
Jacklina Mboya :
na mbeele unauza je coz kitambo sana toka 2012 sijala chakula chetu cha rombo
2026-09-25 15:50:02
7
ᡕᠵ᠊ᡃ່࡚ࠢ࠘⸝່ࠡ᠊߯᠊߯ᡁࠣ࠘᠊᠊ࠢ࠘气亠O 🍁 :
IKAWA MCHANA IKAWA USIKU
2026-09-26 03:22:59
4
shami ❤ :
mimi sasa😅😅😅
2026-09-25 19:21:59
4
Mc Masong..🥶 :
hii challenge huko wanapoenda wakimaliza kulia ni wap..?
2026-09-26 14:14:09
5
Faith Melanin 👑 :
alisimama kwnye gari kisha akaondoka Kwa miguu 🤣🤣🤣AI
2026-09-25 20:07:14
3
ubaruku ❣️girl :
nimimi imekataa jmn😳
2026-09-25 20:02:55
0
Dr Jackson :
My girlfriend left me because of my broken english. But I doesn't cannot care. If he want to gone let him went. I cannot dead 😭😭
2026-09-28 06:34:19
1
Jacklina Mboya :
daah nimemic mtango my lini unapika nije kula
2026-09-25 15:43:23
3
Jacklina Mboya :
dada nayce mambo
2026-09-25 15:42:56
1
BHUJU🦋💕💸 :
:mkaangalie na yangu nimeweza🤣
2026-09-26 07:02:57
1
risha's60 :
jamani jatamani na mm nani anisaidie
2026-09-25 18:17:02
4
@Lightness Alex01 :
5/5
2026-09-25 16:28:39
1
princess naah255. :
mmegoma kupitwa na hii challenge 😁😁😁
2026-09-26 11:03:05
1
rasamu collection :
Jamn naombeni bhs mkalike na kwnguu😂😅
2026-09-26 16:49:11
1
Emanuel Emanuel :
Mambo
2026-09-25 17:56:57
1
Timoavy2014 :
Mimi sasaaa
2026-09-25 20:06:45
1
To see more videos from user @.nayce.moshy, please go to the Tikwm
homepage.