@chriss.aloyce: haya sasa wale wateja wetu mlikuwa mnalalamika sana oooh mtwara hakuna duka la nafaka la wajivuni sasa tumesikia kilio chenu hilo ndio duka la nafaka la mkoa we call it home uf super rice:karibuni sana wajivuni ubora ya bidhaa ndio kipaumbele chetu sisi tunauza thamani wengine weuze bei

mkinga safi
mkinga safi
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 15:02:56 GMT
76170
2719
66
310

Music

Download

Comments

lijoma05
LIJOMA :
hongera San duka zuri hivi vitu ya nje unatoa na kurudisha???
2026-09-25 16:34:00
7
mwajumanachinguru
libra for life :
duka liko sehemu gani
2026-09-26 09:27:01
2
nipher390
Libra Zodiac⚖️⚖️ :
Naomba Oda ya Sembe boss🙏
2026-10-08 13:17:33
1
user5097858431109
mwanamtwa junior :
niwe na kujumlishia sembe
2026-09-29 12:55:22
1
noeblessed7
BestHusband🤵🏾‍♂️ :
nimefuatilia page yako Kwa ukaribu nimepata Cha kujifunza ,hongera kaka
2026-09-27 13:55:39
2
h7pambakali
H7 PAMBAKALI :
Umetisha sana hom boy 🔥🔥🫡🫡
2026-09-27 10:00:04
2
user5514213836082
user5514213836082 :
mapembelo
2026-10-09 05:55:53
1
jujave50
Vee🌹 :
Now this is mini super market
2026-09-26 10:38:19
1
kanty.thadeus
Kanty Thadeus :
imekaa powa Sana ila yote yanawezekana kama tukiwekeza hela yakutosha
2026-09-26 21:54:56
1
iddyally4326
boss mkinga :
sawa tajir kaz nzur
2026-09-25 15:14:18
1
jamaludinjr
JAMAL :
MWEKEZAJI KAWEKEZA BANAA
2026-09-26 09:35:17
2
modestapollycap
modestapollycap :
Hongera sana kaka
2026-09-25 16:19:03
1
user7037297140040
john :
tajiri nina huduma ya kufunga Cctv camera pamoja na kuunganisha kwenye simu yako ambapo utafuatilia matukio sehemu yoyote ulipo 0621089156 .
2026-09-29 19:38:13
1
mushshelly
sherrina bodyscrub /pure oil🥑 :
ipo siku nitafungua langu Mungu nisaidie ndoto yang itimie
2026-09-26 13:57:38
2
mgenirestina
Mgenirestina :
nilichofurah zaid kuona mkinga mwenzang amefanikiwa na mm one day yes
2026-09-26 16:28:25
1
eng.simon
eng.mghase :
mfumo wa hopos utakusaidi kujua uhalisia wa duka lako nakujua unapata faida kiasi gani
2026-10-01 18:03:16
0
user5675005005953
Saffethy Elly🔹 :
daah 🙏naombeni hata kazi tu jaman
2026-10-03 14:50:41
0
annasanga568
annasanga :
sisi sifa yetu kupambana wa kinga
2026-09-25 17:44:41
0
songa19994
Songa@1999 :
Big shop ni taaruki uhakika wa huduma
2026-09-27 15:56:57
0
user3407681258810
benny :
nam nimeanza kaka ila nipo kijijin ushauli wako
2026-09-28 16:17:13
0
aisha.majiji
qute@aisha💕💫 :
kuna ushauli nitakuomba ila mung akuzidishie zaid
2026-10-05 05:17:51
0
user6253290114874
shaulin mitawa :
vizuri sana tajiri umetueshimisha mtwara mungu akubariki sana
2026-10-14 09:29:28
0
ndazi.haruna
Ndazi Haruna :
mtaji sasa, mnhhhh!!!
2026-09-29 08:42:13
0
natonback
Selah! :
Hivi niulize mnavyorundika vitu nje vikiibiwa mnajuaje wakati mpo ndani?
2026-10-11 15:29:34
0
mohamedy.thabiti
mudy tz💉💉 :
nakubali kaka
2026-09-25 18:02:31
0
To see more videos from user @chriss.aloyce, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About