@fabrizio_wabongo1: ZANZIBAR: Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa New Amaan Complex imefungwa magoli 2-0 dhidi ya Guinea-Bissau katika mchezo wa Kundi L kuwania kufuzu Michuano ya AFCON 2027, leo Septemba 25, 2026. Mchezo ujao Tanzania itacheza dhidi ya Madagascar ugenini wakati Guinea-Bissau itaikaribisha Nigeria, michezo yote ikitarajiwa kupigwa Septemba 29, 2026. #fabriziowabongo #tanzania #guineabissau #afcon2027