Maisha ya mtandaoni yasikufanye umuache mpenzi wako pls pls ohoooo
2026-09-25 17:44:56
594
Official Drew โบ๏ธ :
Alaf kuna wangu hata elf 5 ya ped kila mwez hana me ananiudhi ๐๐๐
2026-09-25 16:54:38
347
naicute :
katafute iphone 19 promax
2026-09-25 16:08:36
76
sweety pieโค๏ธ :
๐๐๐ nyie hii n mitandao naomb mniamn๐๐๐๐๐๐
2026-09-25 17:02:20
188
fadhila๐๐๐๐ :
watu wanafake life mtandaoni jaman ukweli tutaujua ukiumwa
2026-09-26 05:15:28
88
๐ธAiem Zouh๐ฆ. :
kula maisha kula maisha kula maisha wazazi๐ค๐คฃ๐คฃ
2026-09-25 16:21:15
130
salmaabdallah :
nunua asset. maisha hubadilika and u will not be young forever
2026-09-26 16:09:07
1
Mgayobeautypointโฅ๏ธ๐น๐ฟ๐ฐ๐ช :
Mbona mimi siamin au nina chembechembe ya ROHO mbaya๐ณ๐ณ๐๐
2026-09-25 17:17:59
120
-it's ishaโค๏ธ๐ฆ๐ฆ๐ :
wewe unaesoma coment yangu mambo ya mitandaoni yasikufanye umchukie mwanaume wako ๐๐๐
2026-09-25 17:05:01
76
Rina Beauty :
tiktok life
2026-09-26 18:06:58
0
IbbuTZ :
Hivi kuna mtu anaejiuliza kama ninavyojiuliza? ๐๐
2026-09-25 21:20:34
30
๏ผค๏ผฎ๏ผกไนSWAGZY :
tilia uc
2026-09-26 18:57:28
0
Eddy :
lipia hiyo apartment ๐
2026-09-25 22:10:24
0
georitha๐ฅฐ :
nipe mm
2026-09-26 16:09:40
0
ree ๐ฆ๐ฆ :
aya last born
2026-09-26 16:03:18
0
Mama Rey๐๐๐ :
jamani nyie wanganga mnapata wp je?๐ฅบ๐ฅบ
2026-09-25 20:10:22
7
nunu :
wasaidie watoto yatima na wengine wasiojiweza
2026-09-25 18:50:29
21
sallyboe :
sjui ata kwa nn naletewa upuuzi uu
2026-09-25 19:45:43
7
servant.moo29 :
Hela za watu zisikuchanganye kipenzi haijalishi za mikopo za kupewa na mbaba guys msifanye wapenzi wenu muwaone kama nzi guys kitawalamba hayo ni maisha ya TikTok tu ukiamua kuyafata utatumika sana na usipate unachotafta ohoo niaminini mimi hakuna cha apartment wala nn haya nyie waoneni wapenzi wenu hawasitahili hichohicho anachokupa mshukuru jmn ndio uwezo wake ulipoishia iposku Mungu atampa zaid tuacheni tamaa jmn
2026-09-26 06:23:03
6
๐ฅฐ๐นSฤฅรซฤฅรฃล๐ฆ :
Toa sadaka๐๐
2026-09-25 20:39:12
6
modester_francis :
Mimi hata pesa za kuigizia sijui pa kuzipata๐
2026-09-26 04:30:48
10
Laulaya :
nunua iyo apartiment
2026-09-25 15:57:55
39
Ms.Hemzzz๐ :
wa hv mnapataga wapi๐
2026-09-25 16:29:06
22
PARU SCENTS โจ :
kawasaidie watoto yatima ,ila kwa moyo sio kwa kujionyesha.. Ni ushauri tu ๐ค